
credit: @sokawaytz_…
Mpira umekwisha Cairo International Stadium… Wenyeji wa AFCON 2019, @pharaohsofficial wametupwa nje ya Michuano baada kupokea kipigo kutoka kwa Bafana Bafana walioonesha kiwango Bora mno π… Baada ya Ushindi huu Sasa Afrika Kusini wanakutana na Nigeria katika Mchezo wa Robo fainali siku ya Julai 10 mwaka huu.
:
Misri πͺπ¬ 0-1 πΏπ¦ Afrika Kusini
[Thembinkosi Lorch]
#AFCON2019 #EGYRSA