Marcelo asaini yanga

credit: @sokawaytz_…

OFFICIAL | Klabu ya Yanga SC Imethibitisha kukamilisha uhamisho wa Beki wa kushoto kutoka Zanzibar katika klabu ya Malindi FC, Muharami Issa “Marcelo” kwa Mkataba wa Miaka Mitatu..

.

– Kama kumbukumbu unazo mdau, Beki huyo Alitambulishwa na Klabu ya Singida United siku Sita zilizopita kwa Mkataba wa Miaka Mitatu Pia… lakini hii leo kafanyiwa vipimo vya afya na Kusaini Mkataba Mitaa ya Jangwani na kupewa Jezi Namba Mbili kabla yake ilikuwa ikivaliwa na Gadiel Michael Mbaga aliyemaliza Mkataba na Mabingwa hao wa Kihistoria..

#TPLTransferUpdates #TPLUpdates

Leave a comment