Kocha mkuu wa stars Emanuel emenike aondolewa kuinoa timu hiyo

credit: @sokawaytz_…

BREAKING NEWS

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kumpata kocha wa muda atakayeiongoza Taifa Stars katika mechi za kufuzu CHAN dhidi ya Kenya.

TFF imefikia hatua hiyo baada ya kukubaliana kuachana na Kocha Mnigeria, Emmanuel Amunike kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya víbaya kwenye AFCON.

Reposted from @giftmacha_official

Leave a comment