Tadic aongeza mkataba kuitumikia Ajax

credit: @sokaonline_…

Klabu ya Ajax imemuongezea mkataba mpya nyota wake Dusan Tadic hadi 2023 kama mchezaji, lakini baada ya kumalizika kwa mkataba huo ataendelea kuwepo klabuni hapo hadi 2026 na atepewa moja ya kitengo.

Leave a comment