
credit: @sokawaytz_…
– Kwa Kumbukumbu, Wadada alisaini Mkataba wa Mwaka Mmoja kuitumikia Azam FC… Labda Kama alisaini Mkataba Mpya kimya kimya na haikuwekwa wazi… Lakini Miamba hao wa Ethiopia πͺπΉ wameonesha Nia ya kutaka huduma na Nyota huyo wa @ugandacranes.
#TransferNewsUpdates