Man united wataka £75 kwa inter Milan kuipata saini ya lukaku

credit: @sokaonline_…

Klabu ya Manchester United imewaambia Inter Milan watoe dau la £75m ili kumsaini mshambuliaji wake Romelu Lukaku.

.

.

Endapo hawatafika dau hilo basi wasahau kuhusu nyota huyo kutua Italy (The Sun)

Leave a comment