…
– FC Barcelona na Borussia Dortmund wanazungumza kuhusu uhamisho wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil 🇧🇷, Malcom, Mazungumzo hayo ambayo klabu ya Bundesliga italazimika kulipa €42m (£38m / $47m).
.
– Malcom ana kifungu cha €180m (£160m / $200m) kuvunja mkataba wake wa sasa na Mabingwa hao wa La Liga, lakini Barça Imeripotiwa kuwa ipo Tayari kuongeza €1m Katika dau walilo mnunua Nyota huyo €41m kutoka Klabu ya Ligue 1 Nchini Ufaransa, Bordeaux..
.
– Wakati huo huo AS Roma iliyoporwa tonge mdomoni kwa Mchezaji huyo bado wanamtaka tena, Lazio nao na Arsenal ambao walipowasilisha ombi waliambiwa walipe €71m 🙄😄!!.
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_