Kiungo wa zamani wa yanga kamusoko ajiunga na zesco United

credit: @peterjosephmdee19…

Kamusoko ajiunga na Zesco United

Kiungo wa zamani wa Yanga, Thaban Kamusoko amesajiliwa na klabu ya Zesco United kwa mkataba wa miaka mitatu.

.

.

Leave a comment