Balle kukimbilia japan

credit: @sokawaytz…

– Jarida la @marca hivi punde limeripoti Kwamba Mshambuliaji wa Kimataifa wa Wales, Gareth Bale ana Masaa tu kukamilisha uhamisho wake wa kutimkia Ligi Kuu Nchini China πŸ‡¨πŸ‡³, ndani ya Klabu ya Jiangsu Suning kwa Mkataba wa Miaka Mitatu akitokea Real Madrid ya Hispania!…

.

– Bale anatarajia kupokea Mshahara wa Β£1m kwa kila Wiki sawa na Tshs 2b na Kila Mwaka Katika Kipindi atakachokuwa na Klabu hiyo atakuwa akiingiza €22m kwa kila msimu ambayo Ni sawa na Tshs 56b… πŸ˜‹πŸ˜‹.

#TransferNewsUpdates

@Sokawaytz_

Leave a comment