David mwantika na aishi Manula Kukosa mechi thidi ya kenya leo

credit: @sokaonline_…

Golikipa Aishi Manula pamoja na beki David Mwantinka wataukosa mchezo wa leo wa kufuzu michuano ya CHAN 2020 dhidi ya Kenya baada ya kupata majeraha wakiwa mazoezini.

Leave a comment