Thomas vamalen ajiunga kukipiga japan

credit: @sokawaytz…

OFFICIAL: Beki wa Kimataifa wa Ubelgiji, Thomas Vermaelen amekamilisha Usajili wake wake wa kujiunga na Klabu ya Vissel Kobe ya Nchini Japan 🇯🇵!!..

.

– Vermaelen 33, kajiunga Kama Mchezaji huru Baada ya Kumalizika kwa Mkataba wake na Mabingwa wa Hispania Klabu ya FC Barcelona… Katika timu yake mpya anakutana na Wachezaji wengine waliopita zamani FC Barcelona, Andres Iniesta, Sergi Samper na David Villa..

#TransferNewsUpdates

@Sokawaytz_

Leave a comment