Ronaldo ataka mafanikio zaidi

credit: @sokawaytz…

– Mshambuliaji wa Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo amesema kuwa ana uhakika Miamba hao wa Serie A, Juventus watashinda Ligi ya Mabingwa Ulaya, akisisitiza kuwa Ubingwa “unakuja”.

.

– Baada ya mataji nane mfululizo ya Serie A, Juve bado wanaangaika kutafuta mafanikio ya Ulaya kufuatia medali tano za washindi wa pili tangu ushindi wao wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa mnamo mwaka 1996..

.

– Hivi Karibuni, Juventus wamekuwa wakipigwa fainali tu, dhidi ya Barcelona mnamo 2015 na pia dhidi ya Madrid mnamo 2017, Madrid ambayo ilikuwa na Ronaldo ambapo alifunga magoli mawili kwenye fainali..

#championsleague #Juventus #cristianoronaldo

@Sokawaytz_

Leave a comment