Aishi manula aondolewa kwenye timu ya taifa baada ya majereha kuemdelea kumsumbua

credit: @90sportsplus…

Rasmi Golkipa wa Simba Sc Aishi Manula @28_manula ameondoshwa rasmi katika kikosi cha Timu ya Taifa kitakacho cheza na Kenya katika raundi ya Pili kufuzi CHAN baada ya majeraha kuendelea kumsumbua.

Mbadala wake ameitwa aliyekuwa golkipa wa Lipuli Fc Mohammed Yusuph ambae amesajiliwa na Polisi Tanzania.

Golkeepers @taifastars_ | Juma Kaseja🇹🇿

Leave a comment