
credit: @sokawaytz…
“Tumepanga kupunguza timu kutoka timu 20 msimu huu mpaka timu 16 msimu wa 2021/2022,hii ni baada ya kufanya tathmini ya kina juu ya Ligi yetu.”
👉👉 Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Nchini Tanzania @tanfootball, Wilfred Kidao Akithibitisha kupungua idadi kwa Vilabu vinavyoshiriki Ligi kuu Bara!.
#TPLUpdates