Mambo yameanza England ..watford yafukuza kocha

credit: @unisports_tz…

TIMUA TIMUA IMEANZA EPL.

Kocha wa kwanza kufukuzwa kwenye Ligi Kuu ya England msimu huu ni Jarvi Garcia wa Watford.

:

📌Baada ya mechi 4 tu za Ligi, Javi Garcia ameondolewa Watford ikiwa na pointi moja katika mechi 4 ilizocheza.

:

📌Watford imemteua aliewahi kuwa kocha wao msimu wa 2015-2016 Quique Sanchez Flores.

:

Leave a comment