credit: @qualitysportstz…
Kufuzu kombe la dunia #Qatar2022 Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Leo Jumapili inajitupa uwanjani kutafuta nafasi ya kufuzu kombe la dunia Qatar2022 kwa kukipiga dhidi ya Burundi. Mchezo huo Utaanza kuanzia majira ya saa 10:00 Jioni kwenye Uwanja wa Taifa. …















































































































