Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo April 21 , 2018,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.













































































































Katika droo hiyo, timu zitapangwa kwenye makundi sita ya timu nne nne
Droo ya makundi itafanyika kwa kuchagua timu kutoka kila chungu miongoni mwa vyungu vinne vyenye timu sita sita ambazo zimewekwa kwa kufuata ubora
Tanzania imewekwa kwenye chungu cha nne sambamba na Namibia, Guinea Bissau, Angola, Burundi na Zimbabwe
Timu zinazokuwa kwenye chungu kimoja haziwezi kupangwa kundi moja hivyo Stars haiwezi kupangwa na timu zilizotajwa hapo juu


















