Full Time #Tpl
Taarifa kuhusu mechi ya Simba vs JKT Tanzania
Taarifa kuhusu mechi ya Simba vs JKT Tanzania
Mechi kati ya Simba dhidi ya JKT Tanzania iliyopangwa kuchezwa leo katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro huenda isichezwe kutokana na hali ya mvua kubwa kunyesha na uwanja kujaa maji.
Kwasasa kinachosubiriwa ni nusu saa kupita kulingana na kanuni za kuahirisha mechi, ambayo kanuni mojawapo inataka angalau ipite nusu saa ndipo mechi ihairishwe.
Hiki hapa Kikosi cha Simba kitakacho cheza leo dhidi ya JKT Tanzania
Kikosi cha Simba dhidi ya JKT Tanzania leo
1. Deogratius Munish
2. Nicolas Gyan
3. Asante Kwasi
4. Yusuf Mlipili
5. Juuko Murshid
6. Said Ndemla
7. Hassan Dilunga
8. Jonas Mkude
9. Adam Salamba
10. John Bocco (c)
11. Clatous Chama
2. Nicolas Gyan
3. Asante Kwasi
4. Yusuf Mlipili
5. Juuko Murshid
6. Said Ndemla
7. Hassan Dilunga
8. Jonas Mkude
9. Adam Salamba
10. John Bocco (c)
11. Clatous Chama
Wachezaji wa Akiba
1. Aishi Manula
2. Erasto Nyoni
3. Paul Bukaba
4. James Kotei
5. Rashid Juma
6. Meddie Kagere
7. Emmanuel Okwi
2. Erasto Nyoni
3. Paul Bukaba
4. James Kotei
5. Rashid Juma
6. Meddie Kagere
7. Emmanuel Okwi
Ratiba ya mechi za leo Tpl
Magazeti ya leo, Jumatano, April 03 2019
















TOP 4 EPL
Zimebaki mechi 7 kwa kila timu. Nani atafanikiwa kubaki ndani ya Top 4? #sokaonline
TP MAZEMBE Kutua DAR KESHO
Kikosi cha Tp Mazembe kinatarajia kuwasili nchini Kesho Jumatano April 3 tayari kwa mchezo wa Jumamosi dhidi ya Simba Sc #sokaonline
Adi Yusuph – Mchezaji bora wa mwezi march – UINGEREZA
ambaye ni mtanzania ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa tatu wa klabu yake ya Solihull Moors ya nchini Uingereza.
.
Takwimu zake kwa mwezi Marchi
Mechi 7
Magoli 3
Assists 3
#sokaonline
Wachezaji wanaopiga mkwanja mrefu msimu huu barani Ulaya
Wachezaji wanaopiga mkwanja mrefu msimu huu barani Ulaya 😎


Matokeo Mechi za Leo Ligi kuu Tanzania Bara












