DISMAS TEN – Kuhusu Heritier MAKAMBO

Dismas Ten kuhusu Heritier Makambo kutimikia Guinea zKalbu ya Horoya Athletic Club .

“Hatakama Horoya Ac wamemalizana naye lazima warudi kwetu kumalizana na sisi. ITC ya Makambo tunayo sisi kwa namna yeyote hawataweza kumtumia katika mechi yeyote “

Leave a comment