– Kiungo wa Kimataifa wa Rwanda na Klabu ya @simbasctanzania ameendelea kuweka rekodi zake ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuwa Mchezaji wa kigeni kutwaa Makombe mengi zaidi ya Ligi Kuu Tanzania Bara; Baada ya kunyakua Ubingwa wa msimu huu 2018/19, Niyonzima Sasa kabeba Ubingwa Mara tano mfululizo Pia kwa jumla ni Mara ya Sita anatesa Ubingwa wa Tanzania πΉπΏ akiwa na vilabu viwili tofauti na vikongwe nchini.
π2012/13 (Yanga)
π2014/15 (Yanga)
π 2015/16 (Yanga).
π 2016/17 (Yanga).
π 2017/18 (Simba).
π 2018/19 (Simba).
.
– Licha ya Bongo tu, Niyonzima Ana medali tatu za Ubingwa wa Kwao Rwanda π 2008/9, π 2009/10, π 2010/11… Medali tatu za Ubingwa wa Kombe La FA kwao Rwanda π 2007/8, π 2009/10, π 2010/11 na Medali Moja ya Ubingwa wa Kombe La FA nchini π 2015/16.
#LigiKuuTanzaniaBara #TPL
@Sokawaytz