Breaking news Jonas Mkude ,Ajibu migomba waondolewa kwenye Kikosi cha timu ya taifa

credit: @sokaonline_…

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Emmanuel Amunike amewaondoa Jonas Mkude na Ibrahim Ajibu katika kikosi cha wachezaji 32 wanaosafiri kwenda Misri tayari kwa michuano ya #AFCON2019 .

.

Amunike amesema kigezo kilichotumika kuwaacha nyota hao ni perfomance yao mazoezini na nidhamu huku akisisitiza anajua watu wanamatamanio yao juu ya wachezaji fulani lakin nidhamu na utimamu wa viwango vyao katika mazoezi ni kipaumbele kikubwa ukiachana na Kapombe ambaye bado hajarudi kwenye ubora wake. .

.

Pia kocha huyo amewajumuisha makinda Kelvin John na Boniphace ili kuwapa uzoefu zaidi.

.

.

Wachezaji wengine walioachwa ni pamoja na Ayoub Lyanga, Ally Khamis, Kennedy Wilson na Shomari Kapombe

Leave a comment