Kiungo Jonas mkude aongeza mkataba kuitumikia simba

credit: @sokawaytz…

– Kiungo bora wa kati na kipenzi cha Wanasimba, Jonas Gerald Mkude ni rasmi sasa kuwa ataendelea kuwa sehemu kikosi cha Mabingwa hao wa Tanzania @simbasctanzania baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia..

#Updates #transfers

Leave a comment