De light akubalina na juventus

_…

JUVENTUS IMEKUBALI KUMSAJILI DE LIGT:

āœšŸ» Rasmi, Juventus wamekubaliana na Klabu ya AFC Ajax juu ya uhamisho wa Beki wa Kimataifa wa Uholanzi, Matthijs de Ligt..

.

āœšŸ» Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 atawasili Turin hii leo Jumanne na kufanyiwa vipimo vya Afya kesho Jumatano katika dili la uhamisho wenye thamani ya Ā£67.5m (€75m) ikiwa ni pamoja na bonasj.

.

āœšŸ» Mabingwa hao wa Serie A tayari wamekubaliana Maslahi binafsi na wakala wa De Ligt, Mino Raiola kwamba mchezaji huyo atasaini mkataba wa Miaka Mitano wenye thamani ya Ā£10.8m kwa mwaka pamoja na bonuses wakati wake wote akiwa na Miamba hao wa Turin…

#TransferNewsUpdates #SerieATransfersUpdates

Leave a comment