Simba yaendelea kujinoa nchini Africa Kusini

credit: @sokawaytz_…

Mazoezi ya Klabu ya @simbasctanzania kujiandaa na msimu mpya yameanza rasmi jijink Rustenburg, Afrika Kusini. Kwa mujibu wa Ratiba yao, timu itakuwa inafanya mazoezi mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni…

#TPLUpdates

Leave a comment