Matokeo ya jana na ratiba ya mechi za leo

credit: @sokawaytz…

RATIBA YA HII LEO JUMAPILI NA MATOKEO YA JANA JUMAMOSI:

:

– Copa America – Group A.

FT Venezuela 0 – 0 Peru

– Copa America – Group B.

FT Argentina 0 – 2 Colombia

.

– World Cup Women – Group E

FT Netherlands 3 – 1 Cameroon

FT Canada 2 – 0 New Zealand

.

– CONCACAF – Gold Cup:: Group A.

FT Canada 4 – 0 Martinique

FT Mexico 7 – 0 Cuba

.

– International – Friendlies.

FT Indonesia 6 – 0 Vanuatu

FT Uganda 1 – 0 Ivory Coast

FT Ghana 0 – 0 South Africa

FT Kenya 1 – 1 DR Congo

.

– World Cup U-20 – FINAL πŸ†

FT Ukraine U20 3 – 1 South Korea U20

:

RATIBA ZA HII LEO JUMAMOSI..

– Copa America – Group B.

22:00 Paraguay

Qatar

.

– Copa America – Group C.

01:00 Uruguay

Ecuador

.

– World Cup Women – Group F .

16:00 Sweden

Thailand

19:00 USA

Chile

.

CONCACAF – Gold Cup:: group B.

01:00 Haiti

Bermuda

03:30 Costa Rica

Nicaragua

.

– International – Friendlies.

19:00 Egypt

Guinea

19:30 Morocco

Zambia

20:00 Tanzania

Zimbabwe

20:45 Nigeria

Senegal

21:00 Algeria

Mali

.

– UEFA EURO U-21 – Group A.

19:30 Poland U21

Belgium U21

22:00 Italy U21

Spain U21

#Updates

@Sokawaytz

Hazard siwez lazimisha kuvaa jezi number 10 wala kupiga penati

credit: @sokawaytz…

– Eden Hazard amesema kuwa yeye hajali juu kutovaa jezi namba 10 au kutokuwa na majukumu ya kupiga mikwaju ya penalti katika Klabu yake mpya ya Real Madrid; Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Ubelgiji alijiunga na Blancos kwa €100 (Β£88m / $112m) kutoka Chelsea wiki iliyopita.

.

— “Nimezungumza na Modric kwa kupitia kwa Kovacic, nikamuuliza kama angeweza kuniachia Mimi jezi No.10, alisema hapana, ni lazima nitafute namba nyingine,” alisema Hazard.

.

— Nyota huyo Pia aliongeza kuwa “Kwangu mimi namba 10 ya jezi si muhimu, lakini kucheza na jezi hii, na nembo hii inatosha”.

.

– Hazard pia amesema hatolazimisha kutaka kuchukua penati ili apige yeye ndani ya Real Madrid, kwani kawakuta wapiga wengine wengi wa penati ndani ya Klabu… Sergio Ramos msimu uliopita alipiga penati Nane Kati ya 12 za Klabu hiyo, Karim Benzema akipiga penati tatu na Gareth Bale akipiga penati moja..

#Updates

@Sokawaytz

Messi ndiye mwana michezo anayelipwa pesa nyingi duniani

credit: @sokawaytz…

– Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi ndiye Mwanamichezo anaelipwa mkwanja zaidi duniani, akijiingizia $127m (Β£99.8m) katika miezi 12 iliyopita, kulingana na takwimu zilizo tolewa na Forbes; Nyota wa Juventus ya Ureno, Cristiano Ronaldo ni wa pili akijiinguzia $109m (Β£85.6m) na Mbrazili wa Paris St-Germain, Neymar anafuatia wa tatu kwa $105m (Β£82.5m).

.

– Kinara wa mwaka jana alikuwa ni Mwana masumbwi, Floyd Mayweather ambaye ameshuka katika orodha hii; Mcheza Tennis, Serena Williams ni mwanamke pekee aliye juu top 100, akipata dola 29.2m (Β£22.9m)…Bingwa Mara tano wa Dunia wa mbio za Magari ya Langa langa “Formula 1”, Lewis Hamilton na bingwa wa zamani wa uzito wa Juu katika Ndondi, Anthony Joshua ndio wanaopata mkwanja Mrefu Kama Wanamichezo wa Uingereza wakiwa nafasi ya 13 wakijiinguzia $55m (Β£43.2m).

.

– Gazeti hilo La biashara la Marekani limehesabu mapato ya wanamichezo na kuongeza fedha zao za mshahara kati ya Juni 2018 na Juni 2019.. Top 100 ni pamoja na wanamichezo kutoka nchi 25 na $4bn (Β£3,1bn) ndio mapato yao kwa pamoja yakiongezeka kwa 5% kutoka mwaka uliopita, wakati Mayweather alikuwa kinara mwa $285m (Β£224m).

.

– Messi ni Mchezaji wa Soka wa nane tofauti kuchukua nafasi ya kwanza katika Orodha hii ambapo takwimu zake zilianza rasmi mwaka 1990.. Pia ni mara ya kwanza kwamba ni wanasoka wote wameshikilia tatu bora…Messi ni mmoja Kati ya Wanamichezo 38 wasiokuwa Raia wa kwenye orodha… Paul Pogba kiungo wa Manchester United ni mchezaji Anaeongoza kutoka Ligi Kuu Uingereza akiwa katika nafasi ya 44 akijiingizia $33m (Β£25.9m).

βœ‹πŸ» TOP 10 inasimama hivii

1. Lionel Messi $127m (Β£99.8m)

2. Cristiano Ronaldo $109m (Β£85.6m)

3. Neymar $105m (Β£82.5m)

4. Canelo Alvarez $94m (Β£73.8m)

5. Roger Federer $93.4m (Β£73.3)

6. Russell Wilson $89.5m (Β£70.3m)

7. Aaron Rodgers $89.3m Β£70.1m)

8. LeBron James $89m (Β£69.9m)

9. Stephen Curry $79.8m (Β£62.7m)

10. Kevin Durant $65.4m (Β£51.3m)..

#Updates #forbessportsmoney #forbes

@Sokawaytz

De light atua Rasmi Paris sant Germany kwa mkataba wa miaka 5

credit: @sokawaytz…

– Rasmi!! Matthijs De Ligt leo amepokea ofa rasmi ya mkataba kutoka Klabu ya Paris Saint-Germain ambao ni Mabingwa wa Ufaransa; Ofa hiyo ni kwa Mkataba wa miaka mitano na Mshahara wa Β£350k kwa Wiki.

.

– Kwa mujibu wa @fabriziorom, Wakala Wake, Mino Raiola sasa yuko Paris, Ufaransa kuanza mazungumzo na mkurugenzi mpya wa PSG, Leonardo. Mchezaji huyo lakini bado hajaamua juu ya klabu yake ijayo wapi atatimkia, lakini PSG inatajwa kutaka kumaliza dili hilo mapemaa kabla ya Miamba wengine hawajapanda dau.. De Ligt anasubiri kama vilabu vingine (zaidi ya Barcelona, kuliko Manchester United au Liverpool ambapo hawezi kwenda) watawasilisha dau lingine Baada ya na hapo basi atatangaza uhamuzi wake.. πŸ‡³πŸ‡±πŸ”΅

#deligt #psg #mufc #lfc #barcelona #transfers

@Sokawaytz

Bernado silva atangazwa kua mchezaji bora wa Eufa national league

credit: @sokawaytz…

– Bernardo Silva πŸ‡΅πŸ‡Ή ametangazwa kuwa Mchezaji bora wa Mashindano ya UEFA Nations League yaliyofikia tamati jana kwa upande wao Kuwa Mabingwa.. Kiungo huyo Msimu huu kwa Klabu @mancity na timu ya taifa @portugal πŸ”₯

:

🏟 58 Games

⚽ 14 Goals

🎯 17 Assists

πŸ₯‡ UEFA Nations League

πŸ₯‡ Premier League

πŸ₯‡ FA Cup πŸ₯‡ League Cup

πŸ… @UEFAEURO Nations League Player of the Tournament.

πŸ… @ManCity POTY.

#NationsLeague #Updates

Portugal (ureno) yatwaa ubingwa wa Eufa national league

credit: @sokawaytz…

OFFICIAL: Ureno wametwaa Ubingwa wa Michuano ya UEFA Nations League Baada ya kuibuka na Ushindi wa Goli 1-0 katika Mchezo wa fainali dhidi ya Uholanzi.. Ureno wametwaa Kombe hili katika Ardhi yao ya nyumbani… Goli Pekee la GonΓ§alo Guedes limewapa Ubingwa πŸ‡΅πŸ‡Ή.

.

– Ureno wamekua mabingwa mara mbili kwenye mashindano manne yaliyopita waliyoshiriki, Baada ya kubaba UEFA EURO 2016, na Mwaka huu 2019 wametwaa kombe hili La UEFA Nations league.

.

– Portugal imekuwa timu ya kwanza kutoka Ulaya kuandaa na kushinda Ubingwa wa Mashindano makubwa ya Ulaya tangu Ufaransa walipotwaa Ubingwa wa Dunia 1998 wakiifunga Brazil 3-0..

.

– Netherlands Sasa wamepoteza fainali Nne Kati ya tano za Mashindano makubwa yaliyopita kwa wao kufika fainal.. 3⃣ Kombe La Dunia na 1⃣ Nations League..Netherlands pia wameendelea kuwa dhaifu mbele ya Portugal wakuwa huko huko Portugal.. D2, L4 katika games 6⃣ walizokutana..

#NationsLeague #Updates

@Sokawaytz

Matokeo ya jana na mechi za leo duniani

credit: @sokawaytz…

MATOKEO YA SOKA JANA JUMAMOSI NA RATIBA YA HII LEO.

:

– EURO – Qualification::

FT Estonia 1 – 2 N.Ireland

FT Belarus 0 – 2 Germany

FT Croatia 2 – 1 Wales

FT Azerbaijan 1 – 3 Hungary

FT Iceland 1 – 0 Albania

FT Moldova 1 – 0 Andorra

FT Turkey 2 – 0 France

FT Russia 9 – 0 San Marino

FT Belgium 3 – 0 Kazakhstan

FT Scotland 2 – 1 Cyprus

FT Armenia 3 – 0 Liechtenstein

FT Finland 2 – 0 Bosnia and Herzegovina

FT Greece 0 – 3 Italy

.

– Women World Cup – Groups Stage.

FT Norway 3 – 0 Nigeria

FT Germany 1 – 0 China

FT Spain 3 – 1 South Africa

.

– International – Friendlies.

FT Singapore 4 – 3 Solomon Islands

FT Angola 2 – 0 Guinea-Bissau

FT Nigeria 0 – 0 Zimbabwe

.

– World Cup U-20 – Playoffs.

FT USA U20 1 – 2 Ecuador U20

AET South Korea U20 * 3 – 3 Senegal U20

.

– Africa – COSAFA FINAL

FT Botswana 0 – 1 Zambia πŸ†

.

– Morocco – Botola Pro June 8

FT Rapide Club Oued Zem 1 – 0 OCK Khouribga

.

– Tanzania – TPL Playoffs

FT: Mwadui FC 2-1 Geita Gold FC

FT: Kagera Sugar 2-0 Pamba SC

:

RATIBA YA HII LEO JUMAPILI.

UEFA Nations League.

16:00 Switzerland

England

21:45 Portugal

Netherlands

.

– World Cup Women – Group C

14:00 Australia

Italy

16:30 Brazil

Jamaica

– World Cup Women – Group D.

19:00 England

Scotland

.

– International – Friendlies.

13:00 Japan

El Salvador

18:00 DR Congo

Burkina Faso

20:00 Uganda

Turkmenistan

20:30 Cameroon

Zambia

21:00 USA

Venezuela

22:00 Brazil

Honduras

00:00 Paraguay

Guatemala

00:00 Peru

Colombia

02:00 Mexico

Ecuador

07:00 Fiji

Vanuatu

.

– Morocco – Botola Pro.

19:00 FAR Rabat

MAT Tetouan

19:00 KACM

Wydad Casablanca

21:00 Hassania Agadir

Chabab Rif Al Hoceima

21:00 Ittihad Tanger

FUS Rabat

21:00 Raja Casablanca

Difaa El Jadida

21:00 Youssoufia Berrechid

Olympic Club de Safi

#Updates

@Sokawaytz