
credit: @sokawaytz…
– Uruguay wameweza kushinda michezo mingi zaidi dhidi ya Chile π¨π± kuliko dhidi ya taifa lolote walilokutana nalo katika historia ya Copa America, wakiwatwanga mara 19 katika mechi 30 walizokutana katika Mashindano haya (D4 L7)..
:
– Uruguay πΊπΎ Pia katika game yao dhidi ya Chile π¨π± walikuwa wakicheza mechi yao ya 200 katika historia yao ya kushiriki kwa Michuano ya Copa America… Limekuwa ni taifa La kwanza kufikisha idadi ya Mchezo hiyo kwenye Michuano hii.
#CopaAmerica #CopaAmericaUpdates
@Sokawaytz


















