
Tanzania itajishusha dimbani kukipiga na senegal Majira ya saa 2 usiku ,huku jirani zao Uganda Wakiwa Tayari wameshinda mechi ya kwanza na Burundi kufungwa mechi yao ya kwanza dhidi ya Nigeria

Tanzania itajishusha dimbani kukipiga na senegal Majira ya saa 2 usiku ,huku jirani zao Uganda Wakiwa Tayari wameshinda mechi ya kwanza na Burundi kufungwa mechi yao ya kwanza dhidi ya Nigeria

credit: @emmanuelokwi…
Thank you all for lifting us. It is because of your support that we fly. And this award goes to the whole team. One Team One Dream #EO7 #GODABOVEALL #TOQUITISNOTANOPTION

credit: @sokawaytz…
FULL-TIME | Alexandria Stadium, ALEXANDRIA.. Ikiwa ni Michuano yao ya kwanza kabisa katika Historia Burundi wanaanza Kwa kupoteza.. Burundi wamecheza Soka saafi kabisa lakini Nigeria wamepata goli kutumia uzoefu wao wa Mashindano Baada ya kosa dogoo kufanywa na Beki wa Burundi.. Well Done Intamba m’Urugamba bila Shaka Nigeria hawakutegemea ๐๐๐.
:
Nigeria ๐ณ๐ฌ 1-0 ๐ง๐ฎ Burundi
[Odion Jude Ighalo 77mins]
#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates

credit: @afcon2019…
GROUP A
FIXTURE: โฝ
DR Congo vs Uganda
TIME: โ
16:30pm
VENUE: ๐
Cairo International Stadium
#Afcon2019

credit: @afcon2019…
FULL TIME SCORE:
Egypt 1 – 0 Zimbabwe
#Afcon2019



credit: @sokawaytz…
๐๐ Muda huu Dimba la Cairo International Stadium limejaaa… Mamia ya watazamaji wameingia na kujaza uwanja kutazama uzinduzi wa fainali za AFCON 2019 ambapo wenyeji Misri watakipiga dhidi ya The Warriors timu ya taifa ya Zimbabwe…
#AFCONUpdates


credit: @sokawaytz…
– Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, Aliou Cisse amesisitiza kwamba hawezi kudharau atakapo kuwa akicheza dhidi ya Kenya na Tanzania katika mechi za Kundi la C kwenye Kombe La Mataifa ya Afrika “AFCON” nchini Misri..
:
๐ฃ “Senegal ๐ธ๐ณ na Algeria ๐ฉ๐ฟ ni timu kubwa na nzuri sana katika kundi hili, lakini Kenya na Tanzania hawapaswi kupuuzwa.. Ninawaambia, Senegal haiogopi wala kuhofia timu yoyote” Alisema kocha huyo ambaye Pia amesisitiza mwanzo mzuri wa Mashindano ni Kushinda mechi ya kwanza na amewaandaa vijana wake kupambana dhidi ya Tanzania siku ya Jumapili katika game yao ya Ufunguzi.. #TotalAFCON2019
@Sokawaytz