Klabu ya KRC GENK anayochezea mtanzania Mbwana Samatta imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi kuu nchini Ubelgiji maarufu kama Belgium Pro League mara baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Anderlecht huku ikisaliwa na mchezo mmoja mkononi.
.
Genk itamaliza mchezo wake wa mwisho ikiwa nyumbani dhidi ya St.Liege.
.
.
Hongera @samagoal77
Category: kimataifa
Esperance yatinga fainali ligi ya mabingwa, kucheza na Wydad Casablanca
Esperance leo imeilazimisha TP Mazembe suluhu ya bila kufungana katika mchezo uliopigwa dimba la Mazembe, Lubumbashi huku ikitoka kushinda bao 1-0 kwenye mchezo wa kwanza
Mamelodi Sundowns pia imeshindwa kupindua matokeo ya 2-1 iliyofungwa na Wydad Casablanca kwenye mchezo wa kwanza baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana
Esperance imetinga fainali kwa msimu wa pili mfululizo sasa itachuana na Wydad Casablanca michezo miwili ya fainali itakayopigwa mwishoni mwa mwsi huu
Mchazaji Neymar Afungiwa Mechi 3 Kutokana na Alichoandika Instagram
Shirikisho la Soka Barani Ulaya(UEFA) limemfungia mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain baada ya kuandika maneno ya dharau na kejeli kufuatia timu yake kutolewa na Manchester United katika mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya
Mbrazili huyo, aliweka bandiko katika ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Instagram lenye kuonesha hasira baada ya Man. Utd kupata penati ndani ya dakika nne za nyongeza wakati shuti lililopigwa na Diogo Dalot lilipomgonga Presnel Kimpembe mkononi
-l
Marcus Rashford alitumia nafasi hiyo aliyopewa na Muamuzi Damir Skomina aliyetoa penati hiyo baada ya kujishauri kutumia mfumo wa uamuzi wa runinga(VAR), kufunga goli na kufanya Manchester United kufuzu kucheza hatua ya robo fainali
Neyma aliandika “Hii ni aibu, wameweka watu wanne wasiojua chochote kuhusu soka kutoa maamuzi baada ya kuangalia marudio ya tukio kupitia VAR. Hakukua na penati. Panawezaje kuwa na penati wakati mpira umempiga mgogoni!” Kisha akatuna
TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO JUMATATU
ITAZAME MECHI YA REAL MADRID VS ATHLETIC BILBAO LIVE HAPA
Kumbuka kubonyeza X au kitufe cha kurudi nyuma endapo utaona matangazo.
ITAZAME MECHI YA NAPOL VS ARSENAL LIVE HAPA
BONYEZA HAPA KUITAZAMA MECHI HII LIVE
Kumbuka kubonyeza X au kitufe cha kurudi nyuma endapo utaona matangazo.
PIA KUMBUKA KU UPDATE APP YAKO ILI KUENDELEA KUPATA HABARI ZETU, HII NI KWA WALE WALIO PAKUA APP YETU KUANZIA LEO MCHANA – KURUDI SIKU ZA NYUMA.
ITAZAME MECHI YA SLAVIA VS CHELSEA LIVE HAPA
BONYEZA HAPA KUITAZAMA MECHI HII LIVE
Kumbuka kubonyeza X au kitufe cha kurudi nyuma endapo utaona matangazo bonyeza.
PIA KUMBUKA KU UPDATE APP YAKO ILI KUENDELEA KUPATA HABARI ZETU, HII NI KWA WALE WALIO PAKUA APP YETU KUANZIA LEO MCHANA – KURUDI SIKU ZA NYUMA.
Full Time. Fc Barcelona 3-0 Man United
Full Time.
Fc Barcelona 3-0 Man United
(Messi ⚽⚽ Coutinho ⚽)
#ChampionsLeague


Full Time. Juventus 1-2 Ajax
Full Time.
Juventus 1-2 Ajax
(Ronaldo ⚽ | Van De Beek ⚽ De Ligt ⚽) .
#ChampionsLeague


ITAZAME MECHI YA JUVENTUS VS AJAX LIVE HAPA
Kumbuka kubonyeza X au kitufe cha kurudi nyuma endapo utaona matangazo












