Category: kimataifa
Vincent Kompany anarejea Nchini kwao Ubeligiji kwenye Klabu yake ya zamani Anderlecht
Nahodha wa Man City Vincent Kompany anarejea Nchini kwao Ubeligiji kwenye Klabu yake ya zamani Anderlecht anaenda kuwa Kocha Mchezaji.
Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu nchini Italia “Serie A” kwa msimu 2018/19
✍🏼 Mshambuliaji wa Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu nchini Italia “Serie A” kwa msimu 2018/19, Cr7 ametwaa tuzo hii ikiwa ni msimu wake wa kwanza tu kusakata soka nchini Italia.
:
✍🏼 Ronaldo alikuwa sehemu ya kikosi cha Vibibi hivyo vya Turin kwenye kutwaa Scudetto yao ya nane mfululizo huku Cr7 ikiwa ni ya kwanza kwake na yeye mwenyewe akipachika Mabao yake 21 katika Ligi. Tuzo za Serie A kila mshindi anapewa baada ya kumalizika kwa msimu, lakini Ronaldo atapewa tuzo yake kabla ya mchezo wao dhidi ya Atalanta siku ya leo Jumapili.
:
✍🏼 Wachezaji wengine waliotwaa tuzo katika Ligi hiyo ni, Mlinda lango Bora wa Msimu katokea Inter Milan, Samir Handanovic, Beki Bora wa Msimu imebebwa na Muafrika kutoka Senegal, Kalidou Koulibaly anaekipiga Napoli, Kiungo Bora Ligi Kuu Italia imebebwa na fundi wa kumiliki Dimba La Kati, Sergej Milinkovic-Savic kutoka Klabu ya Lazio, Fabio Quagliarella Mshambuliaji hatari wa Sampdoria kabeba tuzo ya Mshambuliaji bora wa msimu na Nicolo Zaniola kinda ambaye anacheza Klabu ya AS Roma, yeye kaibuka Mchezaji bora kijana wa Mwaka ndani ya Serie A.
:
✍🏼 Ronaldo Sasa katwaa tuzo ya Mchezaji bora wa mwaka Italia, England na Hispania pamoja na kutwaa Ubingwa wa Ligi kwa nchi zote tatu.. Koulibaly amekuwa nguzo ya ulinzi ndani ya Napoli blocks 31, Clearance 125, tackles won 60 Kati ya 67, clean sheets 13 katika mechi 31 alizocheza..
#seriea #juventus #napoli #lazio #asroma
@Sokawaytz
SEVILLA – Kuwasili Dar Mei 21
Leo Jumamosi Sevilla inakamilisha mchezo wa mwisho ligi kuu ya Hispania , La Liga kwa kucheza na Athletic Club
Kama itashinda mchezo huo, Sevilla inayoshika nafasi ya sita kwenye msimamo wa La Liga , inaweza kukata tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao
Baada ya mchezo huo, kikosi cha Sevilla itaanza safari ya kuja nchini tayari kwa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Tanzania Bara, Simba
Sevilla inatarajiwa kuwasili nchini Mei 21 kuelekea mchezo huo utakaopigwa Mei 23, uwanja wa Taifa kuanzia saa moja jioni
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) limesema kuwa ujio wa timu ya Sevilla kutoka nchini Hispania chini ya SportPesa Tanzania utaongeza hamasa na maendeleo ya mpira wa miguu nchini.
TFF imewataka wachezaji wa Simba kutumia fursa ya mechi hiyo kuonyesha uwezo na vipaji vyao ili kujitangaza
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema kuwa Sevilla FC ni timu kubwa yenye historia kubwa katika soka duniani na hivyo ujio wao utawavutia mashabiki wa soka hata wa nchi jirani ili kuja kushuhudia wachezaji nyota wa wanaocheza bara la Ulaya.
WAYNE ROONEY
Mchezaji wa zamani wa Man United Wayne Rooney amewaambia wachezaji wa klabu hiyo kuwa kila mara wanapokuwa juu ama chini kimchezo, kikosi hicho kinahitaji kuanza kumuogopa Ole Gunnar Solskjaer. (Mirror)
CASILLAS: Mlinda lango wa Kimataifa wa Hispania, Iker Casillas Ametangaza kustaafu Soka rasmi hii leo;
– Mlinda lango wa Kimataifa wa Hispania, Iker Casillas Ametangaza kustaafu Soka rasmi hii leo; hili limekuja siku chache Baada ya kuruhusiwa hospitali ambako alikimbizwa kufuatia kupata Shambulio La Moyo wakati akiwa katika Mazoezi ya Klabu yake ya FC Porto..
.
– Legendary huyo amefanikiwa kucheza jumla ya mechi 881 ngazi ya Vilabu na games 167 katika timu yake ya taifa ya Hispania na makombe aliyotwaa ni Kama..
• 1x World Cup 🏆
• 2x Euro Championship 🏆
• 3x Champions League 🏆 • 5x La Liga 🏆
• 2x Copa del Rey 🏆
• 1x Club World Cup 🏆
• 1x Primeira Liga 🏆
🙌🏽🐐 #Updates
RATIBA YA SOKA HII LEO JUMAMOSI:
RATIBA YA SOKA HII LEO JUMAMOSI:
– Serie A
16:00 Udinese
SPAL
19:00 Genoa
Cagliari
21:30 Sassuolo
Roma
.
– FA Cup FINAL!!
19:00 Manchester City
Watford
.
– Bundesliga
16:30 Bayern München
Eintracht Frankfurt
16:30 Borussia M’gladbach
Borussia Dortmund
16:30 Fortuna Düsseldorf
Hannover 96
16:30 Freiburg
Nürnberg
16:30 Hertha BSC
Bayer Leverkusen
16:30 Mainz 05
Hoffenheim
16:30 Schalke 04
Stuttgart
16:30 Werder Bremen
RB Leipzig
16:30 Wolfsburg
Augsburg
.
– Ligue 1
22:00 Bordeaux
Reims
22:00 Guingamp
Nîmes
22:00 Lille
Angers SCO
22:00 Monaco
Amiens SC
22:00 Montpellier
Nantes
22:00 Olympique Lyonnais
Caen
22:00 PSG
Dijon
22:00 Saint-Étienne
Nice
22:00 Strasbourg
Rennes
22:00 Toulouse
Olympique Marseille
.
– La Liga
14:00 Levante
Atlético Madrid
17:15 Espanyol
Real Sociedad
17:15 Getafe
Villarreal
17:15 Real Valladolid
Valencia
17:15 Sevilla
Athletic Club
21:45 Celta de Vigo
Rayo Vallecano
21:45 Deportivo Alavés
Girona
21:45 Huesca
Leganés
.
– UEFA Women’s Champions League – FINAL!!
19:00 Olympique Lyonnais
Barcelona
.
– Belgium – First Division A.
(EL play-off: group A)
21:00 KFCO Beerschot-Wilrijk
Oostende
21:00 Sporting Charleroi
Eupen
21:00 St.Truiden
Westerlo
.
– Ligi Kuu Bara.
16:00 African Lyon
Mbeya City FC
.
– Kenya – Premier League.
14:00 MT Kenya United
SoNy Sugar
15:00 Kariobangi Sharks
KCB
15:00 Nzoia Sugar FC
Sofapaka
16:15 Posta Rangers
Kakamega Homeboyz
.
– Morocco – Botola Pro
22:00 Difaa El Jadida
Hassania Agadir
22:00 Rapide Club Oued Zem
OCK Khouribga
.
– South Africa – Cup.
20:00 Kaizer Chiefs
TS Galaxy
:
MECHI ZA JANA
– Belgium – First Division A.
(EL play-off: group)
FT Kortrijk 4 – 0 Cercle Brugge
FT Royal Excel Mouscron 2 – 4 Waasland-Beveren
FT Zulte-Waregem 2 – 1 Union St.-Gilloise
#Updates @Sokawaytz
MAN U – Yaanza Mikakati ya Kusuka Kikosi Bora Msimu Ujao
✍🏼 Kujenga kikosi ndani ya Manchester United kumeanza, Miamba hao wa Old Trafford Rasmi imewasiliana na klabu ya Fulham mara moja juu ya kutaka kumsajili kinda wao, Ryan Sessegnon.
:
✍🏼 United itakutana na Upinzani kwani, Tottenham na Juventus pia wanavutiwa na kijana huyo, ambaye leo anatimiza umri wa miaka 19, lakini United ni timu pekee ambayo imetuma maombi yao kuwasiliana na Fulham hadi sasa.. Kwa mujibu wa chanzo makini @skysports.
:
✍🏼 Sessegnon inaeleweka kuwa hawezi kucheza msimu mwingine katika Championship kufuatia Fulham kushuka daraja ikiwa ni msimu mmoja tangu wapande Premier league, United wanataka kuongeza vipaji kwa kusajili wachezaji vijana katika kikosi cha kocha Ole Gunnar Solskjaer..
:
✍🏼 Fulham huenda wakakubali kufanya Biashara ya kumuuza Sessegnon kwa vilabu vinavyomtaka kwani kinda huyo kabakiza Mkataba wa Mwaka mmoja tu kuwatumikia watoto hao wa London..
#transfers #Updates #premierleague
@Sokawaytz
MANCHESTER UNITED: Ujumbe wa Marcus Rashford kwa mashabiki wa Man United kuelekea kwenye msimu ujao.
Ujumbe wa Marcus Rashford kwa mashabiki wa Man United kuelekea kwenye msimu ujao.

CHELSEA: Nyota wa Chelsea Alvaro Morata amesema kuwa hafikirii kurejea Chelsea
Mshambuliaji wa Chelsea aliyepo kwa mkopo Atletico Madrid Alvaro Morata amesema kuwa hafikirii kurejea Chelsea baada ya muda wake kumalizika badala yake atafanya kila aliwezalo ili aendelee kubaki Atletico Madrid kwa muda mrefu.
.












