
Kiungo huyo mwenye asili ya Zambia jana amemalizana na simba baada ya kuongeza mkataba wa miaka 2 kuitumikia timu hyo

Kiungo huyo mwenye asili ya Zambia jana amemalizana na simba baada ya kuongeza mkataba wa miaka 2 kuitumikia timu hyo

credit: @sportszone_tz…
TETESI | INAELEZWA KUWA NYOTA NEYMAR AMESHAKUBALI MAMBO YAKE BINAFSI NA KLABU YA BARCELONA INAELEZWA KUWA ATALIPWA PAUNDI LAKI NNE ( Β£400,000) KWA WIKI NA ATASAINI MKATABA WA MIAKA 5 KUCHEZA CAMP NOU

credit: @afcon2019…
Nigeria coach Gernot Rohr knows how important it is to stay at the top and be motivated π₯π #TotalAFCON2019






credit: @sports extra
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Mabingwa wa nchi. @g.fragav ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 17 ya Brazil iliyokuwa na wachezaji maarufu kama Neymar, Philippe Coutinho, Casemiro na golikipa Alisson, pia alicheza timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 20 na alicheza klabu kadhaa za Brazil ikiwepo GrΓͺmio amejiunga na klabu yetu akitokea ATK FC ya India. #NguvuMoja


credit: @sokawaytz…
– Uruguay wameweza kushinda michezo mingi zaidi dhidi ya Chile π¨π± kuliko dhidi ya taifa lolote walilokutana nalo katika historia ya Copa America, wakiwatwanga mara 19 katika mechi 30 walizokutana katika Mashindano haya (D4 L7)..
:
– Uruguay πΊπΎ Pia katika game yao dhidi ya Chile π¨π± walikuwa wakicheza mechi yao ya 200 katika historia yao ya kushiriki kwa Michuano ya Copa America… Limekuwa ni taifa La kwanza kufikisha idadi ya Mchezo hiyo kwenye Michuano hii.
#CopaAmerica #CopaAmericaUpdates
@Sokawaytz

credit: @afcon2019…
FULL TIME SCORE:β½
South Africa 0 – 1 Ivory Coast
– Jonathan Kodjia scores the only goal of the game to ensure his team a comfortable win. π₯
#TotalAfcon2019

Timu ya taifa ya Tanzania imeanza vibaya katika michuono ya afcon baada ya kuambulia kipigo cha bao 2-0 kutoka kwa senegal