Msimamo wa Kundi D baada ya mechi za leo #CCL


SIMBA 0-2 JS SAOURA : Full Time



HALF TIME: SIMBA vs JS SAOURA
Half Time #CCL


Full Time #CCL
Full Time #CCL


Kikosi Cha SIMBA vs JS SAOURA
Kikosi cha Simba Sc vs Js Saoura #CCL


Full Time BUNDESLIGA
Full Time #bundesliga



SIMBA : Yaapa kuikomalia JS Saoura LEO

Simba inaweza kuandika historia nyingine leo kwa kutinga robo fainali ya michuano hiyo mikubwa kabisa barani Afrika kwa ngazi ya vilabu
Mashabiki wa Simba na Watanzania wote kwa ujumla wametakiwa kuiombea timu dua njema ili iweze kupeperusha vyema bendera ya nchi huko ugenini
Aidha mafanikio ya Simba kwenye michuano hii ni mafanikio ya Tanzania kwani iwapo itafanikiwa kusonga mbele, itaiongezea Tanzania alama na pengine msimu ujao nchi inaweza kuongezewa idadi ya wawakilishi kwenye michuano hiyo
Kwa sasa Tanzania ina nafasi mbili tu kwenye michuano ya CAF wakati baadhi ya nchi zina nafasi hadi nne kutokana na vilabu vyao kufanya vizuri
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema vijana wake wana ari ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo huo
“Hatukuja hapa kwa malengo ya kutafuta sare, tunataka kushinda mchezo huu,” amesema Aussems
Ushindi unaweza kuihakikishia Simba kutinga robo fainali kama Vital Club itashindwa kupata ushindi dhidi ya Al Ahly katika mchezo utakaopigwa mapema saa moja jioni
Lakini hata alama moja itaifaa Simba kuelekea mchezo wake wa mwisho dhidi ya Vita Club utakaopigwa uwanja wa Taifa Jumamosi ijayo March 16 2019
SIMBA SC: Mezani Kabla ya Mchezo Wa Leo
Makamanda wetu wakipata chakula cha mchana. Burudani inaendelezwa baadae tutakapocheza na JS Saoura. #NguvuMoja


Kabwili augua Yanga ikijiandaa kuikabili KMC
Katika mchezo wa kesho Yanga itakosa huduma ya mlinda lango wake kinda Ramadhani Kabwili ambaye ni mgonjwa
Hata hivyo, mkufunzi wa makipa Juma Pondamali amesema hana wasiwasi na kusokena kwa Kabwili kwa kuwa Kindoki na Hamid wapo
Yanga itaingia kwenye mchezo wa kesho ikiwa na kumbukumbu ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa mzunguuko wa kwanza, bao lililowekwa kimiani na Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa mkwaju wa adhabu kwenye dakika za lala salama
Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo minne kupigwa kwenye viwanja mbalimbali










