Brazil imefanikiwa kusonga nusu fainali katika copa America

credit: @sokawaytz…

– Brazil 🇧🇷 inasonga nusu fainali ya Copa America kwa Mara yao ya Sita tangu 1993… inaungana na Uruguay kufuzu hatua hiyo Mara nyingi zaidi katika historia… Brazil pia imesonga fainali Mara tano katika Mara sita walizofika Nusu fainali, Wakichukua Ubingwa mara NNE (1997, 1999, 2004 & 2007). Samba.

#CopaAmericaUpdates #CopaAmerica

@Sokawaytz

Dr Congo imekua timu ya kwanza kuyaaga mashindano ya Afcon

credit: @soccer_samba9…

Baada ya kupigwa Michezo miwili mfululizo dhidi ya Misri na Uganda hatimaye Congo Drc yaaga mashindano ya AFCON wakiwa hawana point ata moja na wamebakiwa na mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba dhidi ya Zimbabwe

#soccer_samba9 #sokaliveupdates #sokaonlineupdates #millardayoupdates #millardayosports #michezo #michezoonlineupdates #hatuachani #maajabu #afcon2019 #afcon #caf #timuyawananchi #wawekezajiwananchi #taifastars #nguvumoja #simbasc #thisissimba #congo

Egypt imekua timu ya Pili kifuzu baada ya kuibamiza Dr Congo

credit: @sokaplace_…

FULL-TIME | kutoka Dimba la Cairo International Stadium jijini CAIRO.

Egypt 🇪🇬 2-0 🇨🇩 DR Congo

[Ahmed El Mohamady, Mohamed Salah]

:

✍🏻 Misri wamefunga Magoli 2+ katika game Moja ya Kombe La Mataifa ya Afrika kwa Mara ya kwanza tangu mwaka 2010 walipoitwanga Algeria 4-0… Wenyeji Misri linakuwa ni taifa la pili Baada ya Nigeria Kufuzu 16 bora.. Wanashinda game ya pili mfululizo na Kwa Upande wa DR Congo linakuwa taifa La kwanza Kuaga Michuano hii Baada ya kupokea kipigo cha Pili mfululizo..

#AFCON2019 #AFCONUpdates

@Sokawaytz