

Simba yanasa kifaa kutoka Brazil

credit: @sports extra
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Mabingwa wa nchi. @g.fragav ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 17 ya Brazil iliyokuwa na wachezaji maarufu kama Neymar, Philippe Coutinho, Casemiro na golikipa Alisson, pia alicheza timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 20 na alicheza klabu kadhaa za Brazil ikiwepo GrΓͺmio amejiunga na klabu yetu akitokea ATK FC ya India. #NguvuMoja
Transfer news

Uruguay has maneged to beat Chile copa America

credit: @sokawaytz…
– Uruguay wameweza kushinda michezo mingi zaidi dhidi ya Chile π¨π± kuliko dhidi ya taifa lolote walilokutana nalo katika historia ya Copa America, wakiwatwanga mara 19 katika mechi 30 walizokutana katika Mashindano haya (D4 L7)..
:
– Uruguay πΊπΎ Pia katika game yao dhidi ya Chile π¨π± walikuwa wakicheza mechi yao ya 200 katika historia yao ya kushiriki kwa Michuano ya Copa America… Limekuwa ni taifa La kwanza kufikisha idadi ya Mchezo hiyo kwenye Michuano hii.
#CopaAmerica #CopaAmericaUpdates
@Sokawaytz
Ivory Coast yaichakaza South Africa

credit: @afcon2019…
FULL TIME SCORE:β½
South Africa 0 – 1 Ivory Coast
– Jonathan Kodjia scores the only goal of the game to ensure his team a comfortable win. π₯
#TotalAfcon2019
Taifa stars imeanza vibaya baada ya kuambulia kipigo toka kwa senegal

Timu ya taifa ya Tanzania imeanza vibaya katika michuono ya afcon baada ya kuambulia kipigo cha bao 2-0 kutoka kwa senegal
Kikosi cha Tanzania thidi ya Senegal

Zzyech atamba kuisaidia morocco leo thidi ya Namibia

credit: @supersporttv…
@hziyech lit up Europe, can be light up Africa now π²π¦βοΈ
Raphael Benitez ataka kuondoka necastle United

credit: @sports extra
– Kocha Mkuu wa Klabu ya Newcastle, Rafa Benitez anajiandaa kuondoka mkataba wake utakapokwisha mwishoni mwa juma lijalo (Jumapili)… kuondoka kwake kukichagizwa na uhusiano mbovu kati yake na mmiliki wa klabu… Mtaaluma huyo Pia kapewa ofa ya kupokea Mshahara wa Β£6m kwa mwaka kusalia na Klabu hiyo..(@mailfootball).
#transfersUpdates
Daniel Alves ataka kuondoka Paris sant Germany

credit: @sports extra
Kwa mujibu wa Skysports, mlinzi wa kulia wa PSG Dani Alves amethibitisha kuwa ataondoka klabuni hapo katika kipindi hiki cha usajili kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa League 1.









