Skip to content
Unknown's avatar

sportsextra

  • Home
  • Home
  • Home
  • Contact

Samata 4-2 alikiba

sportextratz all, michezo Leave a comment June 2, 2019 1 Minute

Man united yajitosa Kusajili

credit: @sokaonline_…

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye mtandao wa ESPN Brazil, klabu ya Manchester United ipo tayari kutoa zaidi ya kiasi kisichopungua £110m ili kupata saini ya nyota wawili Matthijs De Ligt pamoja na Hakim Ziyech kutoka Ajax.

sportextratz all, kimataifa, usajili Leave a comment June 2, 2019 1 Minute

Liverpool mabingwa ulaya ,firminyo atabiri ushindi wao kabla ya mechi

sportextratz all, kimataifa Leave a comment June 1, 2019 1 Minute

Meddie kagere akabidhiwa kiatu chalet cha ufungaji bora

credit: @simbasctanzania…

Meddie Kagere amekabidhiwa Tuzo ya Mfungaji Bora na tovuti ya habari za michezo ya Kandanda. Katika msimu wa Ligi Kuu 2018/2019 ambao umemalizika hivi karibuni, Kagere alimaliza akiwa amefunga magoli 23 ambayo yamemwezesha kuwa mfungaji bora. #NguvuMoja

sportextratz all, michezo, simba Leave a comment June 1, 2019 1 Minute

Lipuli 0-0 Azam half time

sportextratz all, michezo Leave a comment June 1, 2019 1 Minute

Kikosi cha lipuli kitakachocheza fainali thidi ya azam

sportextratz all, michezo Leave a comment June 1, 2019 1 Minute

Kikosi cha azam kitakachocheza fainali leo thidi ya lipuli

credit: @sokawaytz…

Kikosi cha Azam FC dhidi ya Lipuli FC #AsfcFinal

16 Razak Abalora

14 Nickolas Wadada

03 Daniel Amoah

05 Yakubu Mohammed

06 Agrey Moris (c)

22 Salmin Hoza

27 Mudathir Yahya

08 Salum Abubakar

07 Obrey Chirwa

11 Donald Ngoma

26 Bruce Kangwa

AKIBA:

Mwadini, Mwasapili, Mwantika, Domayo, Peter, Lyanga, Kimwaga.

#sokawatz

sportextratz all, michezo Leave a comment June 1, 2019 1 Minute

Usajili ulaya

sportextratz all Leave a comment June 1, 2019 1 Minute

Liverpool ama Tottenham leo eufa champions league final

credit: @edokumwembe…

I go for Liverpool.. Wanachukua.. Safari hii Salah haumii.. Mzigo wangu kwao pale @tzsportpesa …Pesa yangu inaingia hapo hapo

sportextratz all, kimataifa Leave a comment June 1, 2019 1 Minute

Tottenham yajitosa kwa real betis

credit: @sokaonline_…

Klabu ya Tottenham inatarajia kutuma ofa ya £53m kwenda Real Betis ili kumsaini kiungo wa klabu hiyo  Giovani Lo Celso (The Guardian)

sportextratz all, kimataifa, usajili Leave a comment May 31, 2019 1 Minute

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
sportsextra
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • sportsextra
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • sportsextra
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar

Loading Comments...

    Design a site like this with WordPress.com
    Get started