
Taifa stars imeeanza mazoezii kwaajili ya kujiandaa na mashindano ya Afcon yatakayo fanyika nchini misri

Taifa stars imeeanza mazoezii kwaajili ya kujiandaa na mashindano ya Afcon yatakayo fanyika nchini misri

SENEGAL WATENGA BILIONI 12 KUELEKEA AFCON
.
Waziri wa michezo wa Senegal ametangaza bajeti ya takriban shilingi bilioni 12 ya Timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa ajili ya kuwania taji la Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. (AFCON 2019) nchini Misri. .
senegal wataanza kuwania kombe hilo kwa mchezo wa kwanza dhidi Taifa Stars Juni 23
credit: @sokaonline_


Baada ya kuwasili Abu Dhabi,kikosi cha @ugandacranes kimeendelea na mazoezi tayari kwa maandalizi ya Afcon 2019 nchini Misri
credit: @sokaonline_


Opening match




– Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Adi Yussuf Rasmi Amethibitisha kuachana na Klabu aliyokuwa akiichezea, Solihull Moors FC ya National League nchini Uingereza (Daraja La tano) Baada ya kutofikia muhafaka wa Mkataba mpya kwa ajili ya msimu ujao.
.
– Adi mwenye umri wa miaka 26, Alijiunga na klabu hiyo January 25,2018 kwa Mkataba wa mwaka Mmoja na Nusu Baada ya kumaliza Mkataba wake na Klabu ya Barrow nayo ya National League akiichezea mwaka mmoja tu tangu ajiunge nao Julai 29, 2017.
.
– Katika Game yake ya kwanza tu akiwa na Solihull alifunga Magoli mawili katika Dakika mbili dhidi ya Dagenham akicheza Dakika 70.. Tangu hapo kacheza game zaidi ya 50 na kufunga Magoli zaidi ya 20..@adiyussuf anajiandaa kutua Nchini tayari kujiunga na kambi ya @taifastars_ kujiandaa na Maandalizi ya AFCON 2019.
#Tanzania #TotalAFCON2019
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz


– Klabu ya Stoke City Inayoshiriki Championship nchini England, Imethibitisha kusitisha Mkataba na Mshambuliaji wake, Saido Berahino; Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye alikutwa na kosa La Ulevi akiwa anaendesha gari mwezi huu na kufungiwa kuendesha vyombo vya Moto Uingereza, na kupigwa faini ya £75,000 na Mahakama ya Highbury Corner Magistrates.
:
– Mnamo Januari 2017, Berahino alijiunga na Stoke kutokea West Bromwich Albion kwa ada ya uhamisho £12m na alisaini Mkataba wa miaka Mitano, Amecheza michezo 51 ya ligi akifunga magoli matatu; Tangu akutwe na Makosa ya Ulevi hajawahi tena kupangwa katika kikosi cha timu yake mpaka walipotoa taarifa ya kuvunja Mkataba uliokuwa umalizike 2022.
:
– Mwezi ujao, Berahino atatarajiwa kuwa sehemu ya Kikosi cha Burundi katika Mechi za Mataifa ya Afrika AFCON 2019 nchini Misri..Vijana hao wa kocha Olivier Niyungeko wamepangwa kundi B, ambapo watacheza na Nigeria Juni 22 kabla ya kucheza Madagascar siku tano baadaye na kumaliza na Guinea siku ya Juni 30..
#Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz


Nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta akiwasili tayari kujiunga na Timu ya Taifa @Taifastars_ kujiandaa na Michuano ya Afcon itakayofanyika Misri. @samagoal77
credit: @taifastars_
