
credit: @afcon2019…
FACT – Cameroonian striker Samuel Eto’o is the leading overall African Cup of Nations scorer, scoring 18 goals in six tournaments between the years 2000 and 2010. #AFCON2019

credit: @afcon2019…
FACT – Cameroonian striker Samuel Eto’o is the leading overall African Cup of Nations scorer, scoring 18 goals in six tournaments between the years 2000 and 2010. #AFCON2019

credit: sports extra
Wachezaji walioachwa kwenye kikosi cha mwisho cha taifa Stars ❌Abdi Banda – Baroka FC
❌Shizya Kichuya – Pharco
❌Mwantika – Azam FC
❌Chilunda Shaaban – Tenerife
❌Kelvin John “Mbappe” – U17
❌Fred Tangalu – Lipuli
❌Suleiman Salula – Malindi
❌Claryo Boniface – U20


Haya ndio majina ya wachezaji wa Senegal walioitwa kuitumikia timu yao ya taifa katika mashindano ya Afcon 2019

credit: @afcon2019…
FACT– Egypt will be hosts for a record fifth time. They previously staged the African Cup of Nations in 1959, 1974, 1986 and 2006, winning three of those four tournaments and finishing third in the other.
#AFCON2019 #HostNation #Egypt

credit: @sokawaytz…
– Hongera kwao Viungo mahiri, @kamusoko_13 na @tafadzwakutinyu kwa kuwepo katika Kikosi cha mwisho cha Wachezaji 23 ambao watapeperusha Bendera Zimbabwe katika fainali za Mataifa ya Afrika AFCON mwezi huu nchini Misri.. Vijana hao wa kocha Sunday wapo kundi La A pamoja na mataifa ya Uganda, DR Congo na wenyeji Misri.
#TotalAFCON2019 #AFCON2019

credit: @sokawaytz…
Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo jioni imefanya mazoezi yake ya kwanza ikiwa nchini Misri kujiandaa na mashindano ya AFCON yatakayofanyika kuanzia Juni 21,2019,mazoezi hayo yamefanyika Uwanja wa Movenpick..
#AFCON2019 #TotalAFCON2019 #TaifaStars #zamuyetu

credit: @sokaonline_…
Kikosi cha timu ya Taifa ya Kenya “Harambee Stars” kinatarajia kushuka dimbani leo dhidi ya Madagascar ikiwa ni mchezo wa maandalizi kuelekea kwenye michuano ya #AFCON2019 itakayofanyika nchini Misri.

credit: @sokaonline_…
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Emmanuel Amunike amewaondoa Jonas Mkude na Ibrahim Ajibu katika kikosi cha wachezaji 32 wanaosafiri kwenda Misri tayari kwa michuano ya #AFCON2019 .
.
Amunike amesema kigezo kilichotumika kuwaacha nyota hao ni perfomance yao mazoezini na nidhamu huku akisisitiza anajua watu wanamatamanio yao juu ya wachezaji fulani lakin nidhamu na utimamu wa viwango vyao katika mazoezi ni kipaumbele kikubwa ukiachana na Kapombe ambaye bado hajarudi kwenye ubora wake. .
.
Pia kocha huyo amewajumuisha makinda Kelvin John na Boniphace ili kuwapa uzoefu zaidi.
.
.
Wachezaji wengine walioachwa ni pamoja na Ayoub Lyanga, Ally Khamis, Kennedy Wilson na Shomari Kapombe

credit: @taifastars_…
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Emmanuel Amunike akiteta jambo na Nahodha wa Taifa Stars anayecheza KRC Genk ya Belgium Mbwana Samatta,Stars inaendelea kujiandaa na mashindano ya AFCON yatakayofanyika Misri @amuneke9496 @taifastars_