
credit: @sokaonline_…
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye mtandao wa ESPN Brazil, klabu ya Manchester United ipo tayari kutoa zaidi ya kiasi kisichopungua £110m ili kupata saini ya nyota wawili Matthijs De Ligt pamoja na Hakim Ziyech kutoka Ajax.

credit: @sokaonline_…
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye mtandao wa ESPN Brazil, klabu ya Manchester United ipo tayari kutoa zaidi ya kiasi kisichopungua £110m ili kupata saini ya nyota wawili Matthijs De Ligt pamoja na Hakim Ziyech kutoka Ajax.


credit: @simbasctanzania…
Meddie Kagere amekabidhiwa Tuzo ya Mfungaji Bora na tovuti ya habari za michezo ya Kandanda. Katika msimu wa Ligi Kuu 2018/2019 ambao umemalizika hivi karibuni, Kagere alimaliza akiwa amefunga magoli 23 ambayo yamemwezesha kuwa mfungaji bora. #NguvuMoja



credit: @sokawaytz…
Kikosi cha Azam FC dhidi ya Lipuli FC #AsfcFinal
16 Razak Abalora
14 Nickolas Wadada
03 Daniel Amoah
05 Yakubu Mohammed
06 Agrey Moris (c)
22 Salmin Hoza
27 Mudathir Yahya
08 Salum Abubakar
07 Obrey Chirwa
11 Donald Ngoma
26 Bruce Kangwa
AKIBA:
Mwadini, Mwasapili, Mwantika, Domayo, Peter, Lyanga, Kimwaga.
#sokawatz




credit: @edokumwembe…
I go for Liverpool.. Wanachukua.. Safari hii Salah haumii.. Mzigo wangu kwao pale @tzsportpesa …Pesa yangu inaingia hapo hapo

credit: @sokaonline_…
Klabu ya Tottenham inatarajia kutuma ofa ya £53m kwenda Real Betis ili kumsaini kiungo wa klabu hiyo Giovani Lo Celso (The Guardian)

Rais wa FIFA, Gianni Infantino ametuma salamu za kutupongeza kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu 2018/2019.
Katika salamu hizo ambazo Infantino amezituma kupitia kwa Rais wa TFF, Wallace Karia, amesema amefurahishwa kusikia tumetwaa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo. #NguvuMoja
credit: @simbasctanzania