
credit: @sokaonline_…
Mmiliki wa Paris St-Germain Nasser al-Khelaifi,amesema hayuko tayari kumuachia mshambuliaji wa Brazil Neymar, kuondoka msimu huu.(Marca)

credit: @sokaonline_…
Mmiliki wa Paris St-Germain Nasser al-Khelaifi,amesema hayuko tayari kumuachia mshambuliaji wa Brazil Neymar, kuondoka msimu huu.(Marca)

credit: @sokawaytz…
✍🏻 Klabu ya Yanga SC Imeendeleza vurugu zao kwenye suala zima la usajili baada ya kushusha beki mwingine wa Kimataifa wa Burundi, Moustafa Selemani; Moustafa ametua jana akitokea kwao Burundi katika Klabu ya Aigle Noir FC Ambao pia ndio Mabingwa wa Burundi msimu huu.
:
✍🏻 Beki huyo ambaye Pia ni Nahodha wa Timu ya taifa ya Burundi U23, kabakiza mwezi tu katika Mkataba wake na Aigle Noir, na kwa mujibu wa Taarifa ni tu ni kwamba kafikia Makubaliano ya Kusaini Mkataba wa Miaka miwili na Mabingwa wa Kihistoria Tanzania Klabu ya Yanga SC.. Nyota huyo Sasa ni beki wa Pili wa Kimataifa kusinyaa Jangwani Baada ya Mghana, Lamine Moro kumwaga wino siku chache zilizopita..
#transfers #updates
@Sokawaytz

credit: @sokawaytz…
– Mshambuliaji wa Klabu ya Alliance FC, Bigirimana Blaise ameripotiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Namungo FC iliyopanda kucheza Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ikitokea FDL 2018/19.
.
– Kwa mujibu wa chanzo cha ndani kutoka katika klabu ya Namungo Ni kwamba wamefanikiwa kunasa saini ya mchezaji huyo baada ya kumalizana na timu yake ya Alliance; Blaise alijiunga na Alliance akitokea Stand United ambayo ilishindwa kumlipa maslahi yake ya mshahara sambamba na fedha yake ya usajili..
#updates #transfers

credit: @sokawaytz…
MATOKEO YA SOKA JANA JUMATATU NA RATIBA YA HII LEO.
:
– World Cup U-20 – Play-offs
FT Ukraine U20 4 – 1 Panama U20
FT Uruguay U20 1 – 3 Ecuador U20
FT Senegal U20 2 – 1 Nigeria U20
.
– International – Friendly Match.
FT Colombia 3 – 0 Panama
.
– Egypt – Premier League.
FT Al-Ittihad Al-Sakandary 3 – 1 Smouha SC
FT El Entag El Harby 1 – 2 Wadi Degla FC
FT El Hodood 1 – 1 El Zamalek
FT Petrojet 0 – 0 Al Mokawloon Al Aran
:
– Tanzania – TPL Playoffs
FT Geita Gold 0 – 0 Mwadui FC
FT Pamba FC 0 – 0 Kagera Sugar
:
RATIBA YA LEO JUMANNE:
– World Cup U-20 – Playoffs.
18:30 France U20
USA U20
18:30 Japan U20
South Korea U20
21:30 Argentina U20
Mali U20
.
– Africa – COSAFA.
(placement matches)
18:00 Uganda
South Africa
20:30 Comoros
Malawi
.
– Morocco – Botola Pro.
01:00 Chabab Rif Al Hoceima
Youssoufia Berrechid
01:00 FUS Rabat
RSB Berkane
01:00 MAT Tetouan
Raja Casablanca
01:00 MCO Oujda
FAR Rabat
01:00 Olympic Club de Safi
KACM
01:00 Wydad Casablanca
OCK Khouribga
.
– Nigeria – NPFL.
(championship)
17:00 Enyimba
Enugu Rangers
19:00 Kano Pillars
Akwa United
21:00 Ifeanyi Ubah United
Lobi Stars
#Updates
@Sokawaytz

credit: @sokawaytz…
– Mlinda lango wa timu ya taifa ya Tanzania, Metacha Mnata 20″ amejiunga na Klabu ya Yanga SC kwa Kusaini Mkataba wa miaka miwili, Nyada huyo kajiunga na Yanga akitokea kuitumikia Klabu ya Mbao FC kwa mkopo ambapo Sasa kamaliza Mkataba wake na Azam FC..
.
– Usajili mwingine tena Jangwani, Mshambuliaji wa Kimataifa, Maybin Kalengo 20″ nae amesinyaa rasmi Mkataba wa Miaka Miwili kuwatumikia miamba hao msimu ujao.. Kalengo katoka kuitumikia Klabu ya ZESCO United ya kwao Zambia..
#transfers
@Sokawaytz

Taifa stars imeeanza mazoezii kwaajili ya kujiandaa na mashindano ya Afcon yatakayo fanyika nchini misri

credit: @sokaonline_…
Klabu ya Manchester United imempa ofa ya mshahara wa £170,000 kwa wiki kiungo wa PSG Adrien Rabiot ili kupata saini yake kuelekea kwenye dirisha la usajili msimu huu. (Daily Mirror)









credit: @sokawaytz…
MAKAMBO AONDOKA RASMI YANGA
Straika Heritier Makambo ameaga na kuondoka rasmi nchini tayari kujiunga na timu yake mpya ya Horoya AC ya nchini Guinea huku uongozi wa Yanga ukimpa Baraka zake.
.
.
“Tunakutakia kila lakheri Heritier Makambo kwenye majukumu yako mapya huko uendako tunatambua na tunathamini sana mchango wako kwenye klabu yetu” – Yanga.
@heritier_ebenezer @yangasc @horoyaac
