
Real Madrid ashikilia uskani akufuatiwa na na Manchester United kisha Bayern Munich ya ujeruman


Real Madrid ashikilia uskani akufuatiwa na na Manchester United kisha Bayern Munich ya ujeruman


MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO:.
:
– UEFA Europa League FINAL
FT 4 Chelsea π
1 Arsenal
.
– International – Club Friendlies.
FT SpVgg Lindau 2 – 4 FC Bayern MΓΌnchen
.
– World Cup U-20 – Group A.
FT Colombia U20 6 – 0 Tahiti U20
FT Senegal U20 0 – 0 Poland U20
.
– World Cup U-20 – Group B.
FT Ecuador U20 1 – 0 Mexico U20
FT Italy U20 0 – 0 Japan U20
.
– Africa – COSAFA:: Group A.
FT Comoros 2 – 1 Mauritius
.
– Kenya – Premier League.
FT Chemelil Sugar 1 – 0 SoNy Sugar
FT Gor Mahia 2 – 2 Mathare United
FT KCB 2 – 2 Zoo FC
FT Kariobangi Sharks 4 – 0 Vihiga United
FT Nzoia Sugar FC 2 – 2 Bandari
FT Sofapaka 2 – 0 Kakamega Homeboyz
FT Tusker FC 2 – 1 Posta Rangers
FT Western Stima 0 – 0 AFC Leopards
.
– South Africa – Premier League.
(qualification)
FT Royal Eagles 0 – 2 Maritzburg United
:
RATIBA YA HII LEO.
– International – Friendlies
21:00 Turkey
Greece
.
– International – Friendlies
(women)
18:45 Germany
Chile
.
– World Cup U-20 – Group C
19:00 New Zealand U20
Uruguay U20
19:00 Norway U20
Honduras U20
.
– World Cup U-20 – Group D
21:30 Nigeria U20
Ukraine U20
21:30 USA U20
Qatar U20
.
– Africa – COSAFA:: Group B
18:30 Mozambique
Malawi
18:30 Namibia
Seychelles
.
– Egypt – Premier League
23:00 El Zamalek
El Entag El Harby
23:00 El Hodood
Pyramids FC
#Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz


Real Madrid imeshamwaga dau mezani kwaajili ya kumnasa Winga hatari wa Chelsea Eden hazard .Taarifa tulizo Nazo kwa sasa sports extra ni kwamba Hazard anamalizia mechi yake ya mwisho leo na Arsenal kisha anatua Real Madrid 

— βMimi na Yondani mbona tuna mawasiliano mazuri kabisa, akiwa na matatizo yake ananiambia na tunajua tunafanyeje hata hayo anayosema kwamba anagoma kiukweli mimi sifahamu”.
— βIko hivi mchezaji huyu hawezi kuondoka na nawaambia atazeekea hapa hapa, kwahiyo hayo maneno ya mtaani wala msiyasikilize,β.
π Kocha Mkuu wa Yanga SC akiweka wazi kuwa beki kisi wa Klabu hiyo, Kelvin Yondani atacheza Yanga mpaka yeye mwenyewe atakapoamua kusema basi amechoka na anahitaji kupumzika katika Masuala ya Soka.
#Updates
credit: @sokawaytz




SENEGAL WATENGA BILIONI 12 KUELEKEA AFCON
.
Waziri wa michezo wa Senegal ametangaza bajeti ya takriban shilingi bilioni 12 ya Timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa ajili ya kuwania taji la Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. (AFCON 2019) nchini Misri. .
senegal wataanza kuwania kombe hilo kwa mchezo wa kwanza dhidi Taifa Stars Juni 23
credit: @sokaonline_


– Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), ameitangaza timu ya Stand United ya Shinyanga kushuka daraja moja kwa moja badala ya Kagera Sugar kama ilivyotangazwa jana kwenye msimamo wa Shirikisho la soka Nchini Tanzania (TFF).
.
– Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPLB, Boniface Wambura Mgoyo, amewaambia Waandishi wa Habari Mchana huu Jijini Dar Es Salaam kwamba, kulikuwa na makosa katika uingizwaji wa matokeo ya mechi moja iliyowakutanisha Kagera Sugar na Stand United ambapo badala ya kuingiza Stand wameshinda 3-1, watu wa Data wa Bodi ya Ligi wakaingiza kimakosa 3-0, hivyo kuharibu uwiano wa jumla wa magoli ya kufunga na kufungwa baina ya timu hizo.
.
– Wambura amewaomba radhi wadau wa soka kwa kosa lililojitokeza na kusema Ofisi yake inawajibika kwa kumpa adhabu Ofisa aliyepotosha takwimu; RASMI: Kagera Sugar wanarejea kucheza Playoff dhidi ya Pamba SC, na Mwadui FC watakabiliana na Geita Gold SC… Game za kwanza za Playoffs kupigwa Juni 02 na Game za Marudiano kupigwa Juni 08 mwaka huu.
#Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz


– Klabu ya Yanga SC imefikia Makubaliano ya kuingia Mkataba wa Miaka Miwili na Mshambuliaji wa Kimataifa wa Rwanda, Issa Bigirimana.
.
– Bigirimana Mzaliwa wa Burundi lakini anaitumikia timu ya taifa ya Rwanda, amemwaga wino wa Mkataba wa Miaka Miwili kuwatumikia Miamba wa Mitaa ya Jangwani akitokea katika Klabu ya APR FC ya Ligi Kuu Nchini kwao Rwanda.
.
– Bigirimana 23, anakuwa Mchezaji wa Pili kusinyaa Baada ya Jana, Kiungo Ambaye Pia ni wa Rwanda kutoka Klabu ya Mukura Victory, Patrick Sibomana kumwaga wino.. Haya yote ni kuijenga Yanga mpya ya Ushindani kwa msimu ujao 2019/20..
#transfers #Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz


KUELEKEA FAINALI YA UEFA EUROPA LIGI.
Leo kuelekea fainali ya ueropa ligi baina ya arsenal na chelsea nimeona nichambue vikosi vyote viwili na kuzipa asimia zao kuelekea fainal hiyo ya kukata na shoka kwasababu vilabu hivyo vinajuana vilivyo maana vimekutana sana katika mshikemshike wa ligi kuu ya uingereza.
Chelsea
Wamemaliza ligi vizuri kwa kufika top four ambapo awali katikati mwa ligi walilega lega sana hadi mashabiki wake kuwa na shaka na timu yao kufika top four hila walibadilika wakarudi vizuri hadi kumaliza ndani ya top four, pamoja na hayo chelsea kama timuhawapo vizuri kuelekea fainal hii sababu ya majerui aliokua nao mfano kiungo tegemezi mkabji wa chelsea ngolo kante ana hati hati ya kukosa mchezo huo kutokana na majeraha, hii inatosha kuonesha chelsea kwa kukosena kwa ngolo kante litakua tatizo kubwa kwao, suala jingine chelsea hawana streika wa kat asilia ambaye yupo fomu ya kufunga, wanae top class streika gonzalo higuain hila hayupo katika fomu yake toka ajiunge na chelsea hivyo naona tumain lao lipo kwa giroud ambaye ni moto hasa katika mashindano haya ya ueropa, na endapo kocha akamuini giroud ambaye akili yake ipo vizuri sana katika europa anaweza saidia chelsea katika fainal hiyo, pia suala la kocha wa chelsea kutamka hazarani kua ameshindwa kunyanyua morali ya wachezaji wake na anataka kuipa mkon kwaher klabu hiyo, hii inaonyesha ni kiasi gani chelsea haipo sawa kuelekea fainal hiyo, vilevile kunataarifa za chini chini kulitokea ugomvi baina ya wachezaji jambo ambalo naona linawavuruga sana hasa katika kipindi hiki kuelekea fainali ya ueropa.
Nguvu pekee waliokua nayo chelsea naona hipo kwa streika wao eden hazard ambaye yupo fomu kweli kweli, juzi tuu ametoka kupokea tuzo ya mchezaj bora wa msimu aliyechaguliwa namashabiki, hivyo morali yake hipi juu sana kuelekea fainali hiyo, pia suala lake la kuondoka katika clabu hiyo litampa nguvu yakutaka kuwaacha na kikombe cha ueropa kama zawadi yake kwa mashabiki, hivyo chelsea tumaini lao pekee naona ni eden hazard na namuona ni mchezaji anayeweza kuamua fainali hiyo. Mi naipa asilimia 40% chelsea kubeba kombe hilo
Arsenal
Hawakumaliza ligi vizuri hasa baada ya kikosa nafasi ya top four hila katika kuelekea mwishoni mwa ligi arsenal waliwekeza nguvu zao katika kombe hili la ueropa ambapo wamefanikiwa kufika fainali hivyo naona arsenal wapo vizuri kiakili kuelekea fainali hii ya ueropa ligi, udhaifu wa arsenal nauona katika beki yao abayo naona wanakosa kiongozi kama david luis, sergio ramos pale madrid, vincent kampany pale city. Hivyo arsenal kama watashindwa kucheza vizuri katika beki nayo namuona hazard atawafanya atakachojisikia, pia suala la kuwakosa aron ramsey kiungo hatari sana kaika kufunga na kusaidia wezie kufunga litakua pengo kubwa kwao pia kumkosa mikhtarian nalo litakua pengo kwao katika ubunifu katika final third yao, faida waliokua nayo ni streika wao wawili pierre aubemiyang na lacazzete, wapo vizur sana hawa jamaa na wanaushikiano mzuri sana akikukosa mmoja mwingine anakufunga hivyo arsenal watakua hatari sana hasa eneo la mbele. Pia suala la kuingia uefa kwa mgongo wa nyuma kwa kuchukua ueropa ligi, nahisi litainua hamasa kwao na kuona tumaini pekee ni kujituma na kupata tiketi ya kushiriki uefa msimu ujao, hivyo arsenal watakua na morali sana ukiongezea na ubora wa washambuliaji wao. Arsenal nawapa asimlia 60 kuchukua kombe hilo.
Hila mchezo wa fainali ni fainali tu haungaliagi huko fomu kiasi gani kushinda mchezo huo kwani wachezaji ujituma sana kuipa heshima mchezo huo, hivyo naona utakua mchezo mzuri sana ambaye shabiki yoyote wa soka hatotaka kuhukosa.
Kagawa10

– Kiungo wa zamani wa Klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Xavi Rasmi ametangazwa kuwa kocha mkuu wa Klabu ya ligi Kuu nchini Qatari , Al Sadd SC kwa Mkataba wa Miaka miwili.
.
– Xavi 39, amecheza game zaidi ya 100 akiwa na Al Sadd kabla ya kutangaza kustaafu mwishoni mwa msimu wa 2018-19, Miaka Mitatu tangu ajiunge na Klabu hiyo.
.
– Xavi, katwaa Ubingwa wa Kombe La Dunia 2010 akiwa na Hispania, Mataji Nane ya Laliga, Mataji Manne ya Champions League Kipindi akiwa na FC Barcelona… πππ
#Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz