Mechi ya Liverpool vs Chelsea kuamuliwa na mwamuzi mwanamke

credit: @josephjosey10_…

Mwanamama Mfaransa Stephanie Frappart(35) atakuwa mwana Mama wakwanza kuchezesha moja kati ya mchezo mkubwa ya Ulaya (major UEFA competition) ambao ni Liverpool Vs Chelsea kwenye Super Cup huko Instabul tar 14/08, bodi inayosimamia mpira barani Ulaya imetangaza leo. 🌚🌚🌚

::

::

Aishi manula aondolewa kwenye timu ya taifa baada ya majereha kuemdelea kumsumbua

credit: @90sportsplus…

Rasmi Golkipa wa Simba Sc Aishi Manula @28_manula ameondoshwa rasmi katika kikosi cha Timu ya Taifa kitakacho cheza na Kenya katika raundi ya Pili kufuzi CHAN baada ya majeraha kuendelea kumsumbua.

Mbadala wake ameitwa aliyekuwa golkipa wa Lipuli Fc Mohammed Yusuph ambae amesajiliwa na Polisi Tanzania.

Golkeepers @taifastars_ | Juma Kaseja🇹🇿

Batshuayi bado yupo sana Chelsea

credit: @sokawaytz…

👉🏻 Michy Batshuayi anatarajia kusalia Chelsea msimu huu na kupiganiana nafasi dhidi ya Tammy Abraham na Olivier Giroud katika kikosi Cha kwanza kama mshambuliaji mkuu wa kocha, Frank Lampard.

.

👉🏻 Chelsea wanatumikia marufuku yao ya kusajili Wachezaji kwa dirisha hili na linalokuja, lakini hawateteleki kwa kiasi kuhusu Hilo Ni Baada ya kuwa na rundo la Wachezaji Vijana waliowekezwa na Klabu hiyo, ndani ya Academy yao na wengine walitolewa kwa mkopo Vilabu Mbalimbali takribani 40+… The blues imefanya Usajili wake kwa Wachezaji wawili tu, Christian Pulisic na Kiungo, Matteo Kovacic Ambaye alicheza kwa mkopo klabuni hapo hivyo ikawa ruksa kumsajili na Pulisic alisajiliwa Mwezi January kabla ya kufungo kuwakuta.

.

👉🏻 Tammy Abraham amerejea kutoka kwa mkopo Aston Villa na Michy Batshuayi amerejea kutoka kwa mkopo Crystal Palace… Kinda mwingine Mason Mount karejea kutoka kwa mkopo Derby County na ana uhakika kusalia na The Blues msimu huu Baada ya kufanya vema Katika Mechi za Pre-Seasons..

#EPLUpdates

@Sokawaytz_

Ronaldo ataka mafanikio zaidi

credit: @sokawaytz…

– Mshambuliaji wa Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo amesema kuwa ana uhakika Miamba hao wa Serie A, Juventus watashinda Ligi ya Mabingwa Ulaya, akisisitiza kuwa Ubingwa “unakuja”.

.

– Baada ya mataji nane mfululizo ya Serie A, Juve bado wanaangaika kutafuta mafanikio ya Ulaya kufuatia medali tano za washindi wa pili tangu ushindi wao wa mwisho wa Ligi ya Mabingwa mnamo mwaka 1996..

.

– Hivi Karibuni, Juventus wamekuwa wakipigwa fainali tu, dhidi ya Barcelona mnamo 2015 na pia dhidi ya Madrid mnamo 2017, Madrid ambayo ilikuwa na Ronaldo ambapo alifunga magoli mawili kwenye fainali..

#championsleague #Juventus #cristianoronaldo

@Sokawaytz_