
credit: @sokawaytz…
FULL-TIME : PSG 2-1 RENNES
K.Mbappe β½ | A.Hunou
A.Di Maria β½
:
– PSG wamekuwa Mabingwa wa France Super Cup kwa kupindua Matokeo Baada ya kufungwa Mpaka mapumziko dhidi ya RENNES!.. Huu Ni Ubingwa wao wa Tisa Katika historia na Mara Saba mfululizo!..
π 2013
π 2014
π 2015
π 2016
π 2017
π 2018
π 2019
:
– PSG watwaa wakiipita Lyon kuwa Klabu iliyofanikiwa zaidi Katika kombe hili wao wakiwa Mabingwa Mara Nane!..
#psg #updates
@Sokawaytz_
















