Balle kukimbilia japan

credit: @sokawaytz…

– Jarida la @marca hivi punde limeripoti Kwamba Mshambuliaji wa Kimataifa wa Wales, Gareth Bale ana Masaa tu kukamilisha uhamisho wake wa kutimkia Ligi Kuu Nchini China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ, ndani ya Klabu ya Jiangsu Suning kwa Mkataba wa Miaka Mitatu akitokea Real Madrid ya Hispania!…

.

– Bale anatarajia kupokea Mshahara wa ยฃ1m kwa kila Wiki sawa na Tshs 2b na Kila Mwaka Katika Kipindi atakachokuwa na Klabu hiyo atakuwa akiingiza โ‚ฌ22m kwa kila msimu ambayo Ni sawa na Tshs 56b… ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹.

#TransferNewsUpdates

@Sokawaytz_

Matokeo ya jana ijumaa na ratiba ya leo

credit: @sokawaytz…

MATOKEO YA SOKA JANA IJUMAA NA RATIBA YA HII LEO:

:

– Belgium – First Division A

FT Genk 2 – 1 Kortrijk

.

– International – Champions Cup.

FT Real Madrid 3 – 7 Atletico Madrid

.

– African Nations Championship – CHAN Qualification.

FT Djibouti 0 – 1 Ethiopia

FT Comoros 0 – 2 Namibia

FT Botswana 0 – 0 Zambia

.

– International – Club Friendlies.

FT K-League All Stars 3 – 3 Juventus

FT Freiburg 2 – 0 Kayserispor

FT Kasimpasa 3 – 2 Puskas FC Academy

FT Antalyaspor 0 – 0 Fatih Karagumruk

FT Freiburg 9 – 1 Kayserispor

FT Denizlispor 2 – 1 Eskisehirspor

FT Augsburg 2 – 6 Villarreal

FT 1. FC Kรถln 3 – 1 Bologna

FT RasenBallsport Leipzig 2 – 0 Rennes

FT Nantes 0 – 1 Brest

FT NEC Nijmegen 2 – 1 RKC Waalwijk

FT ADO Den Haag 1 – 1 OH Leuven

FT Fleetwood Town 1 – 0 Preston North End

FT Nottingham Forest 2 – 2 Real Sociedad

FT West Bromwich Albion 0 – 0 AFC Bournemouth

:

RATIBA YA HII LEO JUMAMOSI:

– Netherlands – Super Cup.

19:00 Ajax

PSV Eindhoven

.

– Belgium – First Division A.

19:00 Cercle Brugge

Standard Liege

21:00 Zulte Waregem

KV Mechelen

21:00 St.Truiden

Royal Excel Mouscron

21:30 Waasland-Beveren

Club Brugge

.

– African Nations Championship – CHAN Qualification

16:00 Burundi

South Sudan

18:00 Somalia

Uganda

19:00 Guinea-Bissau

Mali

21:30 Cape Verde

Mauritania

#fixtures #Updates

@Sokawaytz_

Diego costa afumua madrid

credit: @sokawaytz…

Real Madrid na Thibaut Courtois Alichowafanya Diego Costa hawata msahau ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…… Mnyama Baada ya kuhakikisha kapiga goli Nne mpaka Dakika ya 51, Anapewa Kadi Nyekundu na Kwenda kupumzika Dakika ya 61 ๐Ÿ™„๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„.

#ICC2019 #RealMadrid #AtleticoMadrid #elclassico2019โšฝ๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Madrid yaingiwa na hofu juu ya luka Jovic

credit: @sokawaytz…

– Real Madrid imeingiwa na hofu juu ya Majeraha ya Mshambuliaji wao wa Kimataifa wa Serbia, Luka Jovic aliyopata Alfajiri ya kuamkia leo Katika Mchezo wa Maandalizi ya Msimu Mpya dhidi ya Majirani zao Atletico Madrid, Jovic aluchuana na mlinda lango wa Atletico Madrid Jan Oblak Katika Dakika ya 24 ya mchezo huo.

.

– Baada ya Matibabu Dakika kadhaa ilijulikana kapata Majeraha Katika kufundo chake Cha Mguu na Pia iligundulika kuwa Hawezi Kuendelea na Mchezo na nafasi yake kuchukuliwa na Mfaransa, Karim Benzema.

.

– Jovic mwenye umri wa Miaka 21, Bado hajaitumikia Madrid Katika Mechi za Kimashindano kwani msimu huu ndio wa kwanza akiwa na jezi ya Klabu hiyo ya Mabingwa wa Kihistoria Barani Ulaya tangu Asajiliwe kutoka Klabu ya Frankfurt ya Ujerumani kwa ada ya uhamisho wa โ‚ฌ70m… Akitoka na kuiacha Klabu yake ilipokea kipigo Cha Magoli 7-3..

#Updates #RealMadrid

@Sokawaytz_

Thomas vamalen ajiunga kukipiga japan

credit: @sokawaytz…

OFFICIAL: Beki wa Kimataifa wa Ubelgiji, Thomas Vermaelen amekamilisha Usajili wake wake wa kujiunga na Klabu ya Vissel Kobe ya Nchini Japan ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต!!..

.

– Vermaelen 33, kajiunga Kama Mchezaji huru Baada ya Kumalizika kwa Mkataba wake na Mabingwa wa Hispania Klabu ya FC Barcelona… Katika timu yake mpya anakutana na Wachezaji wengine waliopita zamani FC Barcelona, Andres Iniesta, Sergi Samper na David Villa..

#TransferNewsUpdates

@Sokawaytz_

Idrissa Gueye anukia Paris sant Germany

credit: @mstvonline…

@psg imekubali kulipa ยฃ28m kumsajili kiungo wa kimataifa wa #Senegal Idrissa Gueye, 29, kutoka @everton (Mail)

.

.

Follow @mstvonline .

#sokaonline #sokaliveupdates #SportsHQ #nakuru #chombokwahewa #tumewasha #simbanguvumoja #SimbaSc #NguvuMoja #millardayoupdates #millardayosports #Michezo #michezoonlineupdates #full_sokatzupdates #dailysporttz #dailySportt #shaffihdaudawebsite #shaffihdauda #90sportsplusupdates #gueye #psg

Arsenal yakamilisha usajili wa kiungo wa Real Madrid ,Dani ceballos

credit: @sokawaytz…

DONE DEAL: Arsenal Imethibitisha Kumsajili Kiungo wa Kimataifa wa Hispania, Dani Ceballos kutoka Real Madrid kwa mkopo wa msimu Mmoja… Arsenal pia Imethibitisha kuwa Nyota huyo Atavaa jezi yenye Namba Nane (8) Katika Kipindi atakachokuwa na Klabu hiyo..

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Ian Wright

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Freddie Ljunberg

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Mikel Arteta

๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ Aaron Ramsey

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Dani Ceballos ๐Ÿ†•

:

๐Ÿ‘‰ Ceballos mhispania mwingine Anavaa jezi yenye Namba Nane ndani ya The Gunners!.

#transfersUpdates #EPLTransfersUpdates

Malcom akaribia kutua burrusia Dortmund

– FC Barcelona na Borussia Dortmund wanazungumza kuhusu uhamisho wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท, Malcom, Mazungumzo hayo ambayo klabu ya Bundesliga italazimika kulipa โ‚ฌ42m (ยฃ38m / $47m).

.

– Malcom ana kifungu cha โ‚ฌ180m (ยฃ160m / $200m) kuvunja mkataba wake wa sasa na Mabingwa hao wa La Liga, lakini Barรงa Imeripotiwa kuwa ipo Tayari kuongeza โ‚ฌ1m Katika dau walilo mnunua Nyota huyo โ‚ฌ41m kutoka Klabu ya Ligue 1 Nchini Ufaransa, Bordeaux..

.

– Wakati huo huo AS Roma iliyoporwa tonge mdomoni kwa Mchezaji huyo bado wanamtaka tena, Lazio nao na Arsenal ambao walipowasilisha ombi waliambiwa walipe โ‚ฌ71m ๐Ÿ™„๐Ÿ˜„!!.

#TransferNewsUpdates

@Sokawaytz_