
Kiungo huyo mwenye asili ya Zambia jana amemalizana na simba baada ya kuongeza mkataba wa miaka 2 kuitumikia timu hyo

Kiungo huyo mwenye asili ya Zambia jana amemalizana na simba baada ya kuongeza mkataba wa miaka 2 kuitumikia timu hyo

credit: @sportszone_tz…
TETESI | INAELEZWA KUWA NYOTA NEYMAR AMESHAKUBALI MAMBO YAKE BINAFSI NA KLABU YA BARCELONA INAELEZWA KUWA ATALIPWA PAUNDI LAKI NNE ( £400,000) KWA WIKI NA ATASAINI MKATABA WA MIAKA 5 KUCHEZA CAMP NOU






credit: @sports extra
Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Mabingwa wa nchi. @g.fragav ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 17 ya Brazil iliyokuwa na wachezaji maarufu kama Neymar, Philippe Coutinho, Casemiro na golikipa Alisson, pia alicheza timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 20 na alicheza klabu kadhaa za Brazil ikiwepo Grêmio amejiunga na klabu yetu akitokea ATK FC ya India. #NguvuMoja


credit: @sports extra
– Kocha Mkuu wa Klabu ya Newcastle, Rafa Benitez anajiandaa kuondoka mkataba wake utakapokwisha mwishoni mwa juma lijalo (Jumapili)… kuondoka kwake kukichagizwa na uhusiano mbovu kati yake na mmiliki wa klabu… Mtaaluma huyo Pia kapewa ofa ya kupokea Mshahara wa £6m kwa mwaka kusalia na Klabu hiyo..(@mailfootball).
#transfersUpdates

credit: @sports extra
Kwa mujibu wa Skysports, mlinzi wa kulia wa PSG Dani Alves amethibitisha kuwa ataondoka klabuni hapo katika kipindi hiki cha usajili kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa League 1.

credit: @sokawaytz…
– 🆕 7⃣… Balama Mapinduzi kapewa jezi namba Saba ambayo ataitumia ndani ya Klabu yake mpya ya Yanga SC.. Kiungo huyo katua Jangwani akitokea Alliance FC ya jijini Mwanza..
#TPLTransferUpdates

credit: @sokawaytz…
OFFICIAL!! Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Klabu ya Simba SC Imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil, Wilker Henrique Da Silva.
.
– Da Silva Wilker mwenye umri wa miaka 23 amejiunga na Simba SC kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea klabu ya Bragantino ya nchini kwao Brazil…
#TPLTransferUpdates
@Sokawaytz