![]()
Baada ya timu nyingi sana baranj ulaya ikiwemo mashetani wekundu Manchester United kuitaka saini ya kiungo mfaransa rabiot ,sasa ipo wazi kwamba amasajiliwa na juventus
![]()
Baada ya timu nyingi sana baranj ulaya ikiwemo mashetani wekundu Manchester United kuitaka saini ya kiungo mfaransa rabiot ,sasa ipo wazi kwamba amasajiliwa na juventus
![]()
credit: @sokawaytz_…
– Ni rasmi sasa Meneja wa Derby County, Frank Lampard amerejea Chelsea baada ya mchezaji huyo wa zamani wa blues kutia saini mkataba pauni milioni 4 kwa mwaka..
.
– Frank Lampard amekubali ofa ya The blues na Mkataba wa kurejea Kama kocha Stamford Bridge Uthibitisho wake ni muda wowote kuanzia Sasa.. Klabu ya Derby Pia imemruhusu kocha huyo kutohudhuria mazoezi ya Maandalizi ya msimu mpya ili amalizane kabisa na Chelsea.
.
– Chelsea itanunua Mkataba wa miaka miwili uliosalia wa Lampard na Derby unaokadiliwa kuwa ni £4m ($5m) ili kuja kuchukua mikoba ya Muitaliano, Maurizio Sarri, ambaye kajiunga na Juventus kwa £5m ($6m)… Lampard 41, anarejea The Blues baada ya kupita Kama Mchezaji akicheza kwa miaka 13 na kucheza games 649 na kufunga Magoli 211..
#EPLTransfersUpdates #transfersUpdates

credit: @sokaonline_…
#Usajili Imeripotiwa kuwa beki wa kati wa klabu ya Yanga Sc Abdallah Shaibu “Ninja” amesajiliwa na klabu ya Solvakia ya Jamhuri ya Czech na kupelekwa kwa mkopo La Galaxy ya Marekani. @officialfelixtz
credit: @sokaonline_…
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye mtandao wa @espn, Fc Barcelona inatarajia kumtangaza Antoine Griezman kama mchezaji wake kuanzia wiki ijayo kabla timu hiyo haijaingia kambini Julai 14 tayari kwa maandalizi ya msimu mpya. .
credit: @sokawaytz_…
OFFICIAL | Here we go!! Wababe wa Mkoa wa Iringa, Klabu ya Lipuli FC imefanikiwa kumrejesha nyumbani aliyewahi kuwa kocha wao Mkuu, Amri Saidi… Kocha Amri Saidi kabla ya kutua Lipuli kwa Mara ya pili alikuwa kocha wa Biashara United ya Mara msimu uliomalizika.
.
– Muda wowote kianzia Sasa Wana paluhengo hao watatamgaza urejeo wa Kocha Amri Saidi tayari kwa Maandalizi ya msimu ujao… Msimu uliopita, Lipuli iliongozwa na kocha Samweli Moja akisaidiwa na Kocha Seleman Matola.
#TPLTransferUpdates
@Sokawaytz
…
ALVARO MORATA
Chelsea wameitahadharisha Atletico Madrid kuwa watasitisha mkopo wa mshambuliaji Alvaro Morata, iwapo Atletico Madrid hawatatoa pauni milioni 50 kwa ajili ya uhamisho wa kudumu. (Sunday #Telegraph)
.
.
Follow @peterjosephmdee19
.
.
#sokaonline #sokaliveupdates #shaffihdaudawebsite #millardayoupdates #millardayosports #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #dailysporttz #90sportsplusupdates #chelseafc #Chelsea #AtleticoMadridAntoine #AtleticoMadrid #laLiga #laligasantander #PremierLeague #morataALVARO MORATA
Chelsea wameitahadharisha Atletico Madrid kuwa watasitisha mkopo wa mshambuliaji Alvaro Morata, iwapo Atletico Madrid hawatatoa pauni milioni 50 kwa ajili ya uhamisho wa kudumu. (Sunday #Telegraph)
.
.
Follow @peterjosephmdee19
.
.
#sokaonline #sokaliveupdates #shaffihdaudawebsite #millardayoupdates #millardayosports #saujifullsokkaa #full_sokatzupdates #dailysporttz #90sportsplusupdates #chelseafc #Chelsea #AtleticoMadridAntoine #AtleticoMadrid #laLiga #laligasantander #PremierLeague #morata
#tetesizausajili Klabu ya Yanga Sc imerejesha nguvu zake kuwania beki wa kushoto wa klabu ya Rayon Sports Eric Rutanga endapo watashindwana na beki wake Gadiel Michael. .
.
Imeelezwa mpaka sasa Yanga Sc bado hawajamuongezea mkataba mpya beki wake ambaye anatajwa kujiunga na Simba Sc.

credit: @sokaonline_…
#DealDone Aliyekuwa Kiungo wa klabu ya Ndanda Fc Baraka Majogoro amejiunga na Polisi Tanzania mkataba wa Mwaka mmoja.

credit: @kmcfc_official…
Done deal: Mshambuliaji VITALIS MAYANGA amejiunga na klabu ya KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Ndanda fc.
Karibu sana Mayanga kwa wana #kinoboys.
#kinoboys
#kimataifazaidi

credit: @sokaonline_…
Breaking News | Aliyekuwa kiungo wa klabu ya Simba Sc James Kotei amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.