
Tanzania itajishusha dimbani kukipiga na senegal Majira ya saa 2 usiku ,huku jirani zao Uganda Wakiwa Tayari wameshinda mechi ya kwanza na Burundi kufungwa mechi yao ya kwanza dhidi ya Nigeria

Tanzania itajishusha dimbani kukipiga na senegal Majira ya saa 2 usiku ,huku jirani zao Uganda Wakiwa Tayari wameshinda mechi ya kwanza na Burundi kufungwa mechi yao ya kwanza dhidi ya Nigeria

credit: @sports extra
– Brazil 🇧🇷 haijafungwa goli katika Kila Mchezo kwenye games zao Tisa zilizopita za Copa America wakiwa nyumbani (W6, D3)… Mara ya mwisho wanaruhusu kufungwa goli nyumbani kwao katika Michuano Hii ni dhidi ya Venezuela 🇻🇪 mwaka 1989.
.
– Brazil 🇧🇷 Sasa imeifunga Nchi kutoka CONMEBOL kwa kwa ushindi wa Magoli 5+ katika Copa America kwa Mara ya kwanza tangu Robo fainali ya mwaka 2007…(6-1 v Chile 🇨🇱)..
#CopaAmericaUpdates

credit: @sokawaytz…
– 🆕 7⃣… Balama Mapinduzi kapewa jezi namba Saba ambayo ataitumia ndani ya Klabu yake mpya ya Yanga SC.. Kiungo huyo katua Jangwani akitokea Alliance FC ya jijini Mwanza..
#TPLTransferUpdates

credit: @emmanuelokwi…
Thank you all for lifting us. It is because of your support that we fly. And this award goes to the whole team. One Team One Dream #EO7 #GODABOVEALL #TOQUITISNOTANOPTION

credit: @sokawaytz…
FULL-TIME | Alexandria Stadium, ALEXANDRIA.. Ikiwa ni Michuano yao ya kwanza kabisa katika Historia Burundi wanaanza Kwa kupoteza.. Burundi wamecheza Soka saafi kabisa lakini Nigeria wamepata goli kutumia uzoefu wao wa Mashindano Baada ya kosa dogoo kufanywa na Beki wa Burundi.. Well Done Intamba m’Urugamba bila Shaka Nigeria hawakutegemea 👊👏👏.
:
Nigeria 🇳🇬 1-0 🇧🇮 Burundi
[Odion Jude Ighalo 77mins]
#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates

credit: @afcon2019…
GROUP A
FIXTURE: ⚽
DR Congo vs Uganda
TIME: ⌚
16:30pm
VENUE: 🏟
Cairo International Stadium
#Afcon2019

credit: @afcon2019…
FULL TIME SCORE:
Egypt 1 – 0 Zimbabwe
#Afcon2019



credit: @sokawaytz…
👉👉 Muda huu Dimba la Cairo International Stadium limejaaa… Mamia ya watazamaji wameingia na kujaza uwanja kutazama uzinduzi wa fainali za AFCON 2019 ambapo wenyeji Misri watakipiga dhidi ya The Warriors timu ya taifa ya Zimbabwe…
#AFCONUpdates