
credit: @sports extra
– Brazil ๐ง๐ท haijafungwa goli katika Kila Mchezo kwenye games zao Tisa zilizopita za Copa America wakiwa nyumbani (W6, D3)… Mara ya mwisho wanaruhusu kufungwa goli nyumbani kwao katika Michuano Hii ni dhidi ya Venezuela ๐ป๐ช mwaka 1989.
.
– Brazil ๐ง๐ท Sasa imeifunga Nchi kutoka CONMEBOL kwa kwa ushindi wa Magoli 5+ katika Copa America kwa Mara ya kwanza tangu Robo fainali ya mwaka 2007…(6-1 v Chile ๐จ๐ฑ)..
#CopaAmericaUpdates


















