
credit: @sokaonline_…
Klabu ya Tottenham inatarajia kutuma ofa ya £53m kwenda Real Betis ili kumsaini kiungo wa klabu hiyo Giovani Lo Celso (The Guardian)


credit: @sokaonline_…
Klabu ya Tottenham inatarajia kutuma ofa ya £53m kwenda Real Betis ili kumsaini kiungo wa klabu hiyo Giovani Lo Celso (The Guardian)

Rais wa FIFA, Gianni Infantino ametuma salamu za kutupongeza kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu 2018/2019.
Katika salamu hizo ambazo Infantino amezituma kupitia kwa Rais wa TFF, Wallace Karia, amesema amefurahishwa kusikia tumetwaa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo. #NguvuMoja
credit: @simbasctanzania

Real Madrid ashikilia uskani akufuatiwa na na Manchester United kisha Bayern Munich ya ujeruman


MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO:.
:
– UEFA Europa League FINAL
FT 4 Chelsea 🏆
1 Arsenal
.
– International – Club Friendlies.
FT SpVgg Lindau 2 – 4 FC Bayern München
.
– World Cup U-20 – Group A.
FT Colombia U20 6 – 0 Tahiti U20
FT Senegal U20 0 – 0 Poland U20
.
– World Cup U-20 – Group B.
FT Ecuador U20 1 – 0 Mexico U20
FT Italy U20 0 – 0 Japan U20
.
– Africa – COSAFA:: Group A.
FT Comoros 2 – 1 Mauritius
.
– Kenya – Premier League.
FT Chemelil Sugar 1 – 0 SoNy Sugar
FT Gor Mahia 2 – 2 Mathare United
FT KCB 2 – 2 Zoo FC
FT Kariobangi Sharks 4 – 0 Vihiga United
FT Nzoia Sugar FC 2 – 2 Bandari
FT Sofapaka 2 – 0 Kakamega Homeboyz
FT Tusker FC 2 – 1 Posta Rangers
FT Western Stima 0 – 0 AFC Leopards
.
– South Africa – Premier League.
(qualification)
FT Royal Eagles 0 – 2 Maritzburg United
:
RATIBA YA HII LEO.
– International – Friendlies
21:00 Turkey
Greece
.
– International – Friendlies
(women)
18:45 Germany
Chile
.
– World Cup U-20 – Group C
19:00 New Zealand U20
Uruguay U20
19:00 Norway U20
Honduras U20
.
– World Cup U-20 – Group D
21:30 Nigeria U20
Ukraine U20
21:30 USA U20
Qatar U20
.
– Africa – COSAFA:: Group B
18:30 Mozambique
Malawi
18:30 Namibia
Seychelles
.
– Egypt – Premier League
23:00 El Zamalek
El Entag El Harby
23:00 El Hodood
Pyramids FC
#Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz


Real Madrid imeshamwaga dau mezani kwaajili ya kumnasa Winga hatari wa Chelsea Eden hazard .Taarifa tulizo Nazo kwa sasa sports extra ni kwamba Hazard anamalizia mechi yake ya mwisho leo na Arsenal kisha anatua Real Madrid 

– Kiungo wa zamani wa Klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Xavi Rasmi ametangazwa kuwa kocha mkuu wa Klabu ya ligi Kuu nchini Qatari , Al Sadd SC kwa Mkataba wa Miaka miwili.
.
– Xavi 39, amecheza game zaidi ya 100 akiwa na Al Sadd kabla ya kutangaza kustaafu mwishoni mwa msimu wa 2018-19, Miaka Mitatu tangu ajiunge na Klabu hiyo.
.
– Xavi, katwaa Ubingwa wa Kombe La Dunia 2010 akiwa na Hispania, Mataji Nane ya Laliga, Mataji Manne ya Champions League Kipindi akiwa na FC Barcelona… 👏👏👏
#Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz





– Siku Baada ya Kuvuliwa unahodha, Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar Jr ameondolewa katika Viwanja vya Mazoezi ya timu hiyo ya taifa Baada ya kupata Majeraha ya mguu wake wa kushoto.
.
– Kocha Tite alitangaza kumpa kitambaa cha unahodha Neymar mwaka jana, na Sasa ameamua kumvisha Dani Alves ambaye atawaongoza wenzake katika fainali za Copa America mwezi ujao wao wakiwa wenyeji.. Neymar alionekana kujilazimisha kufanya mazoezi lakini haikiwa nzuri na baadade Daktari wa timu hiyo ya taifa Rodrigo Lasmar alipoamua atolewe kwenda kufanyiwa uchunguzi zaidi..
#Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz


– Klabu ya AC Milan Imethibitisha kuwa, Gennaro Gattuso ameachana Rasmi na klabu hiyo Kama kocha Mkuu kwa Makubaliano maalumu; Gattuso ameiongoza Milan tangu Novemba 2017, uhamuzi huo kautoa Baada ya Klabu hiyo kushindwa kufuzu kushiriki Michuano ya @championsleague msimu ujao, wakimaliza nafasi ya tano katika Msimamo wa Serie A na kuangukia @europaleague.
.
– Gattuso 41; alisema hatma yake atatoa Baada ya Ligi kumalizika Baada ya game yao dhidi ya SPAL wakishinda 3-2, lakini ushindi wao haikuwafanya kuwashusha Wapinzani wao Inter Milan pamoja na Atalanta waliokuwa wakiwania nao nafasi mbili zilizosalia ukitoa Juventus na Napoli walijihakikishia kufuzu kwa muda mrefu.
.
– Kocha wa Monaco, Leonardo Jardim na kocha wa Lazio, Simone Inzaghi, Sasa wanatajwa kuchukua huenda mmoja wao akatua San Siro; Kwa Kuongeza, Milan Imethibitisha Kwa Mkurugenzi wao wa Michezo, Leonardo nae ametimka Baada ya msimu mmoja kudumu Klabuni hapo.. Anatajwa kutimkia Paris Saint-Germain ambako amewahi kufanya kazi hiyo kabla ya kutua Milan.
#Updates
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz


– Kocha wa Klabu ya Chelsea, Maurizio Sarri amesema kuwa kiungo mahiri wa Klabu hiyo, Ngolo Kante ana Asilimia 50/50 za kucheza au kutocheza game ya fainali ya Europa league dhidi ya Arsenal wiki hii, Mfaransa huyo anasumbuliwa na majeraha ya mguu wake.. #Updates
credit: @sokawaytz
