Mabingwa wa simba wamekamilisha usajili wa beki wao mbrazili

credit: @sokawaytz…

OFFICIAL!! Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Klabu ya Simba SC Imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji wa Kimataifa wa Brazil, Wilker Henrique Da Silva.

.

– Da Silva Wilker mwenye umri wa miaka 23 amejiunga na Simba SC kwa Mkataba wa Miaka Miwili akitokea klabu ya Bragantino ya nchini kwao Brazil…

#TPLTransferUpdates

@Sokawaytz

Kocha wa Senegal asema hawezi dharau mechi zake dhidi ya Tanzania na kenya

credit: @sokawaytz…

– Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Senegal, Aliou Cisse amesisitiza kwamba hawezi kudharau atakapo kuwa akicheza dhidi ya Kenya na Tanzania katika mechi za Kundi la C kwenye Kombe La Mataifa ya Afrika “AFCON” nchini Misri..

:

πŸ—£ “Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³ na Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ ni timu kubwa na nzuri sana katika kundi hili, lakini Kenya na Tanzania hawapaswi kupuuzwa.. Ninawaambia, Senegal haiogopi wala kuhofia timu yoyote” Alisema kocha huyo ambaye Pia amesisitiza mwanzo mzuri wa Mashindano ni Kushinda mechi ya kwanza na amewaandaa vijana wake kupambana dhidi ya Tanzania siku ya Jumapili katika game yao ya Ufunguzi.. #TotalAFCON2019

@Sokawaytz

Matokeo ya football jana na mechi za leo

credit: @sokawaytz…

MATOKEO YA SOKA JANA NA RATIBA YA LEO IJUMAA.

:

– Copa America – Group C.

FT Uruguay 2 – 2 Japan

.

– World Cup Women – Group E.

FT Cameroon 2 – 1 New Zealand

FT Netherlands 2 – 1 Canada

.

– World Cup Women – Group F.

FT Sweden 0 – 2 USA

FT Thailand 0 – 2 Chile

.

– CONCACAF – Gold Cup:: Group B.

FT Nicaragua 0 – 2 Haiti

74′ Costa Rica 2 – 1 Bermuda

.

– EURO U-21 – Group B.

FT Denmark U21 3 – 1 Austria U21

FT Germany U21 6 – 1 Serbia U21

:

RATIBA YA HII LEO.

– Copa America – Group C.

02:00 Ecuador

Chile

.

– Africa Cup of Nations – Group A.

23:00 Egypt

Zimbabwe

.

– EURI U-21 – Group C

19:30 England U21

Romania U21

22:00 France U21

Croatia U21

.

– CONCACAF – Gold Cup:: Group C.

02:00 El Salvador

Jamaica

04:30 Honduras

Curacao

.

– International – Club Friendlies.

14:00 AC Horsens

FC Helsingoer

16:00 FC Zuerich

Winterthur

βœ‹ 16:00 Gwambina FC

Simba SC

18:00 Breitenrain

Xamax

18:30 Dinamo Moscow

Rudar Velenje

19:00 FC Wacker Innsbruck

Zenit St. Petersburg

19:00 Mattersburg

Kapfenberger SV

19:00 Young Boys

FC Rapperswil-Jona

20:30 KRC Gent

Gent.

#Updates #fixtures

@Sokawaytz

Wachezaji wa Zimbabwe wakubali kucheza mechi yao dhidi ya Egypt leo

credit: @sokawaytz…

– Wachezaji wa timu ya taifa ya Zimbabwe πŸ‡ΏπŸ‡Ό wamekubali kucheza mchezo wao wa Ufunguzi wa fainali za AFCON 2019 dhidi ya Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬ kesho usiku baada ya kukutana na Viongozi wa Soka wa nchini Zimbabwe.

:

– The Warriors walikatisha ghafla mazoezi yao jioni ya leo Sababu ya kutolipwa Posho zao na Bonasi ambazo walitakiwa kuanza kupewa tangu walipo ingia kambini na timu yao ya taifa… Walitishia kutocheza game ya kesho lakini Sasa mambo Shwarii πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»..

#TotalAFCON2019

@Sokawaytz

Simba wapata Kifaa kipya toka Sudan

credit: @sokaonline_…

#Repost @simbasctanzania Kiungo Bora mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan na mchezaji wa timu ya Taifa ya Sudan tangu akiwa na miaka 17 akitokea kwa mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan klabu ya Al Hilal, Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman amejiunga na Mabingwa wa nchi kwa mkataba wa mwaka mmoja. Karibu Msimbazi Sharaf.

Matokeo ya jana na ratiba ya leo

credit: @sokawaytz…

MATOKEO YA SOKA JANA JUMATANO NA RATIBA YA HII LEO:.

:

– Copa America – Group B

FT Colombia 1 – 0 Qatar

FT Argentina 1 – 1 Paraguay

.

– World Cup Women – Group D

FT Japan 0 – 2 England

FT Scotland 3 – 3 Argentina

.

– CONCACAF – Gold Cup:: group A

FT Cuba 0 – 3 Martinique

FT Mexico 3 – 1 Canada

.

– International – Friendlies

FT Zambia 1 – 4 Ivory Coast

.

– Euro U-21 – Group A

FT Spain U21 2 – 1 Belgium U21

FT Italy U21 0 – 1 Poland U21

.

– U20 Tanzania PL – Nusu Fainali.

FT Azam FC 0 – 0 Yanga SC (Penalties 3-0).

FT Mtibwa Sugar 3 – 1 Simba SC

:

πŸ‘‰πŸ‘‰ RATIBA YA HII LEO ALHAMISI

– World Cup Women – Group E.

19:00 Cameroon

New Zealand

19:00 Netherlands

Canada

.

– World Cup Women – Group F.

22:00 Sweden

USA

22:00 Thailand

Chile

.

– Copa America – Group C

02:00 Uruguay

Japan

.

– CONCACAF – Gold Cup:: Group B

02:00 Nicaragua

Haiti

04:30 Costa Rica

Bermuda

.

– Euro U-21 – Group B.

19:30 Denmark U21

Austria U21

22:00 Germany U21

Serbia U21

#Updates #fixtures

@Sokawaytz

Beki wa Kati wa azam mwantika amerudishwa nchini misri Kuziba pengo la agrey Moris alieumia

credit: @sokawaytz…

– Beki wa Klabu ya Azam FC, David Mwantika (Kushoto) amerudishwa nchini Misri tayari kuungana na kikosi cha Taifa Stars kuzipa pengo la Aggrey Morris aliyeumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri… Mwantika ni miongoni mwa wachezaji waliokatwa katika kikosi cha Awali kilichotajwa na kocha Emmanuel Amunike kujiandaa na Michuano ya AFCON..

#TotalAFCON2019