Gadiel Michael asajiliwa simba sc

credit: @dimbani_leo…

EXCLUSIVE: SIMBA YAMALIZANA NA NYOTA WATATU WA YANi

GADIEL Michael sasa rasmi ni mchezaji wa Simba akitokea Yanga ambapo amesaini kandarasi ya miaka miwili.

Gadiel anaungana na wachezaji wenzake wawili na kufikisha jumla ya wachezaji watatu ambao wametoka Yanga.

Wengine ni Ibrahim Ajib ambaye alikuwa nahodha wa kikosi cha Yanga pamoja na Beno Kakolanya ambaye alikuwa ni mlinda mlango wote wamesaini kandarasi ya miaka miwili.

Brazil yatakata copa America

credit: @sokaonline_…

#CopaAmerica 2019

. . โ—† Winners : Brazil๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท

โ—† Fair Play Award: Brazil๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท

โ—† Best Goalkeeper: Alison๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท

โ—† Top GoalScorer: Everton๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท

โ—† Best Player: Dani Alves๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท .

.

Brazil Dominance ๐Ÿ’ช

Mataji yamuandama daniel alves

credit: @sokawaytz_…

๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†

๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†

๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†

๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†๐Ÿ†

@danialves ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท amekuwa ni Mchezaji wa Kwanza katika Historia ya mpira wa Miguu Duniani kushinda Jumla ya Mataji 4๏ธโƒฃ0๏ธโƒฃ.

3x ๐ŸŒ UCL

2x ๐ŸŒ UEL

4x ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ Supercup

3x ๐ŸŒŽ Club World Cup

6x ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ La Liga

5x ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Supercup

5x ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ CDR

1x ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Serie A

1x ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Cup

2x ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Ligue 1

2x ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Supercup

1x ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Cup

1x ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท League Cup

2x ๐ŸŒŽ Confed Cup

2x ๐ŸŒŽ Copa America

๐Ÿคฏ Wow.

#championsleague #Laliga #ligue1 #seriea #CopaAmerica #europaleague.

Kocha mkuu wa stars Emanuel emenike aondolewa kuinoa timu hiyo

credit: @sokawaytz_…

BREAKING NEWS

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kumpata kocha wa muda atakayeiongoza Taifa Stars katika mechi za kufuzu CHAN dhidi ya Kenya.

TFF imefikia hatua hiyo baada ya kukubaliana kuachana na Kocha Mnigeria, Emmanuel Amunike kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya vรญbaya kwenye AFCON.

Reposted from @giftmacha_official

Polisi tanzania yazidi kujiimarisha kiusajili

credit: @sokawaytz_…

OFFICIAL | Klabu ya JKT Tanzania imeendelea kusuka Kikosi chake kuelekea msimu moya wa ligi Kuu Tanzania Bara kwa kukamilisha Usajili wa Beki Iddy Mobby kwa Mkataba wa Mwaka mmoja. Msimu uliopita kiraka huyo alichezea Mwadui FC.

.

– Wakati huo huo, Hassan Nassor Maulid amejiunga na Polisi Tanzania kwa mkataba wa Miaka Miwili akitokea Ndanda FC ya Mtwara ambayo Wachezaji wake waliokuwa nao msimu uliopita wanazidi kupukutika..

#TPLTransferUpdates #TPLUpdates

Algeria yasonga mbele afcon

credit: @sokawaytz_…

– Algeria ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ ina Washambuliaji hatari ambao kwa ujumla wamefunga Magoli Tisa mpaka hatua walipo wakivuka 16 Bora kwenda Robo fainali, Pia wana Mabeki Bora ambao mpaka hatua hii hawajaruhusu kufungwa Goli hata moja kwenye AFCON 2019.

.

– Algeria ndio timu Pekee ambayo bado haijaruhusu kufungwa Goli katika Michuano ya Mataifa ya Afrika, Pia ndio timu Pekee ambayo imefunga Magoli mengi zaidi katika Michuano.

#AFCONUpdates #TotalAFCON2019

@Sokawaytz_