Klabu ya Borussia Dortmund imesema ipo tayari kumuachia winga wake Christian Pulisic kwenda Liverpool au Chelsea kwa dau lisilopungua £70m (The Daily Telegraph) #sokaonlineUpdates
Category: kimataifa
Man U: kuanza mazungumzo ya Lataba Mpya na Mchezaji huyu
Klabu ya Manchester United inatarajia kuanza mazungumzo ya mktaba mpya na mshambuliaji wake Marcus Rashid utakaomfanya alipwe kiasi cha £150k kwa wiki ili kupoteza matumaini ya vilabu vingine vinavyonyatia saini yake ikiwemo Juventus na Real Madrid (Daily Star) .
#sokaonlineUpdates
Tetesi Za USAJILI
#TetesiZaUsajili Imeelezwa kuwa Klabu ya AC Milan ya Italia tayari imeanza mazungumzo na Chelsea ili kumsaini kiungo wa kati raia wa Uhispania Cesc Fabregas, 31, ifikikapo mwishoni mwa msimu huu (Calciomercato)
MOURINHO: Kuwapiga Bei Mabeki Hawa
#TetesiZaUsajili Baada ya taarifa za awali kudai kuwa kocha wa Manchester United Jose Mourinho yupo tayari kuwapiga bei beki wake Marcos Rojo pamoja na Eric Baily ili kusajili beki mwingine, klabu ya PSG inataka kutumia nafasi hiyo ili kumnasa Eric Baily kipindi cha usajili wa dirisha dogo mwezi January (The Mail)
C&p #sokaonlineUpdates
LIVERPOOL KUMSAJILI WINGA WA BURUSSIA DORTMUND
#TetesiZaUsajili Kocha Liverpool wa Jurgen Klopp huenda akashinda mbio za kumsajili winga wa Borussia Dortmund Christian Pulisic ambaye amemtengea kiasi cha £70millioni kuhakikisha anampata winga huyo ambaye pia anawaniwa na Chelsea (Sunday Mirror)
Credit @sokaonlineUpdates
HONGERA: UGanda yafuzu AFCON 2019

Hongera majirani zetu @ugandacranes #zamu yetu afcon cameroon2019
Top 10 Timu zilivyolipwa Fedha nyingi Mishahara ya wachezaji 2017/2018

10 bora ya vilabu vilivyolipwa fedha nyingi katika mishahara ya wchezaji msimu wa 2017/18.
Barcelona wanaongoza wakifuatiwa ba mahasimu wao Real Madrid – kimsingi mahasimu hawa wawili wanatumia £766m kwa mwaka kulipa wachezaji wao – fedha hizi ni zaidi ya jumla ya fedha zote zinazotumika na vilabu vingine 18 kulipa mishahara kwa msimu.
:
Wanaofuatiwa na Manchester United na City.
:
Gunners wao wanafunga orodha ya 10 bora kwa kulipa mishahara ambayo inazidiwa mara mbili na ile ya Barcelona.
BREAKING: Fulham Yamtimua kocha Mkuu wa klabu Hiyo
#BREAKING:..
– Klabu ya Fulham ya England imethibitisha kumtimua kazi ya ukocha mkuu wa Klabu yao kocha Slaviša Jokanović kufuatia muenendo mbovu wa Matokeo ya Ushindi Katika Klabu yao.
.
– Kocha Slaviša Jokanović ameiongoza Fulham kucheza mechi 12 za Ligi Kuu Uingereza, akipata Ushindi Mmoja tu, Sare Mbili na Kupokea vipigo Mara Tisa, pia wameruhusu kufungwa Magoli 31 Katika mechi zao zote 13 na kufunga mabao 11 tu.
.
– Mara Moja baada ya kutimua Kocha huyo, Mmiliki na Mwenyekiti wa Fulham Shahid Khan amemtangaza kocha, Claudio Ranieri kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo akichukua mikoba ya Slaviša Jokanović.
.
– Ranieri, ambaye aliiongoza Leicester City kutwaa taji la Premier League mwaka 2016, kapewa Mkataba wa Makubaliano ya Kuingoza Fulham Mpaka Mwisho wa Msimu huu.
.
– Ranieri Ana kazi nzito ya kuitoa Fulham mkiani mwa Msimamo wa Premier League wakiwa na pointi tano wakiwa Nafasi ya 20, mechi ijayo ya Fulham chini ya kocha mpya Itakuwa ni Katika Premier League Dhidi ya Southampton Siku ya November 24 Ndani ya Craven Cottage…
Credit @sokawaytz
Alexis Sanchez Kuondoka Manchester United
Imeripptiwa kuwa mshambuliaji wa Manchester United Alexis Sanchez, 29, ambaye kwasasa hapati nafasi mara kwa mara ya kucheza chini ya kocha wake Jose Mourinho anafikiria kuondoka mwezi Januari ili kupata timu itakayompa nafasi ya kucheza mara kwa mara. (Evening Standard) #sokaonlineUpdates
Maisha Ya CRISTIANO RONALDO
Kufanya kazi nyumbani kwa Ronaldo hakuna tofauti na kufanya kazi na CIA.
Sheria ya kwanza siri
Sheria ya pili siri
Sheria ya tatu siri
:
Ukifanya kazi kama mfanyakazi wa ndani wa Ronaldo huruhusiwi kutoa siri zozote za familia (hata kusema tu idadi ya vijiko vya ndani ni mwiko). Sheria hiyo inampa wajibu mfanyakazi wa ndani kulinda siri za familia ya Ronaldo kwa muda wa miaka 70. :
Miaka 70 ikipita hakikisha hakuna ndugu wa damu wa Ronaldo yupo duniani wakati huo. Ili uruhusiwe kusema chochote, inabidi usubiri miaka 70 iishe, kisha uhakikishe, Mama yake Ronaldo, watoto wake na mke wake hawapo hai ndipo useme chochote.
:
Shkamoo Ronaldo. Cr7 mnyama hapendi umbeya. @soudybrown angekuwa mreno kuhusu kupata ubuyu wa familia ya Ronaldo asahau 😂😂








